sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,432
- Thread starter
- #41
mwazisha sread umepata majanga nini:becky:
Ha ha haa hapana mkuu ila haya mambo hayana mwenyewe na kila mtu anaweza akawa mwachwaji waiting to happen.., all in all mtu akiwa EX sio kwamba ni uadui.., na akikupigia simu kwamba ana shida kama unaweza sio vibaya kumsaidia ingawa sio kwamba ndio mnaalikana kwenye birthdays au kukutana kupata kinywaji, in short sio adui na kama ukisikia kapata mafanikiobe happy for her, na ukisikia ana majanga sio ndio ushangilie