Ukimpenda; akikuacha, mbariki sio Kumchukia

Ukimpenda; akikuacha, mbariki sio Kumchukia

Yote kwa yote nikigundua kagawa mzigo hata kama alikuwa wa kufa na kuzikana na wema wote alionitendea ikiwamo kunizalia watoto wa kike na kiume nabwaga na nasahau yote kama vile ukizidisha namba yoyote na"0" yaani jibu lake in "0"
 
Mimi ukiniacha siyo kukuombea mabaya tu pamoja na kushinda kwa waganga nikuonyeshe cha mtemakuni
 
Back
Top Bottom