Wewe usituzuge sisi tunajua kwanza mwanamke anayeweza kukupa lunch,dinner au outing yoyote nimwanamke mwenye busara kwani kaamaua kukamua petrol yake kukupeleka lunch na foleni za hapa mjini!!labda kama mpo ngudu wilayani!!hakuna foleni kwa dari nikero kitu cha kwanza niusumbufu sikwangu tu bali kwayeyote akikwambia njoo mahali fulani wakati wa pickhours niusumbufu usiyokifani!!!Sasa yeye kayaweza yote katoa pesa yake kakurudisha officini kwako bado wewe umeona hakustahili anajigonga kwako???wewe ninani are you prince charles??Eti alikwambia anakupenda ukakataa!1hapo awali kama ulikataa kwanini ulikubali hofa yake??
Ok kakuta najamaa zake unamkimbia unaacha gari ulijua anakuja kudoea bia zako??wakati alishakupa lunch??you're so bad guy next time don't put your thread here if it doesn't make sense!!huyo dada tena unasema uko naye jirani kama wewe ni mjanja ungekaa naye nakumwambia naratiba iko tite then angekuelewa!!Lakini siyo kumdhalilisha kihivyo.:shocked:
mie pia napata ugumu kuelewa hii post..Lakini kwa ule uwezo nilionao ..kwann wakati anaomba mkjibanjue usimwambie ukweli kama haumuhitaji?akinuna kivyake wewe umemwambia ukweli wako
Ni wewe na ukiranga wako tu! Mimi siko hivyo. Kama ni prince tu wanaweza kusema hivyo sielewi ila TO ME IS BIG NO. Ukitaka pasuka! Hayo yako. I will never stop posting my threads unless am burned from this forum. There are so many threads and forums in this site! You can choose the needful for you and not to shout at this. Get lost! lol:mad2:
Ni lazima!
Yaani ndugu yangu umeachia kitu imekuja yenyewe asee? Kweli tumeumbwa tofauti. Hebu nirushie contacts zake tafadhali.:love:
kaka katafune rubber zipo mzee!du bahati zingine huwa zinaenda sipo,
heheeh greti thinka punguza hasira.Wewe nimshamba!!ujui hatakudanganya unadhani ukiandika hivyo ndo unaonekana babukubwa??eti umemkimbia na gari umeiacha siupumbavu! huo!!Kama hutaki unamwambia face to face kama ameng'ang'ania hataki kelewa!una haki yakusema No!Siyo kumdhalilsha kihivyo!dada wa watu!, so why did you run away??while you left your car behind??je ungerudi usiikute ungemlaumu nani??Katafute wepuuzi wenzio uwaeleze chenga zako!!Or you mean car like taxi??not your own car??silly man!I wsh could i see you!Nikuone ukoje!!
Umeona eeeh!!! Yani wanaume hawafai wanamshauri mwenzao aoshe vyombo kwa ulazima hata kama haistahili.Lol! hebu waone kwanza.Mtulie na 1 sio kuosha osha kwa kila mnaekutana nae.Eeka Mangi ulifanya sahihi kukimbia.Bora lawama kuliko fedheha.Hata Yusuph alimkimbia hivyo hivyo mkewe Potifa.Ila cha msingi ukamweleze kuwa hau-mind mambo hayo hivyo muwe friends tu kikawaida kama anataka.Wanaume bwana loh:confused2:
yaani wewe uko km mimi huyu demu unampiga bonge la sign kisha unatokomea vibaya sana,kulinda heshima.
yah mambo kama hayo jiandae nayo we utakimbiaje nyuchi bana,tena mda si mrefu atakutangazia we bwabwa.:help:
mbona inakuwa kama unalazimisha ugomvi vile, huo ni uamuzi wake na ni uamuzi sahihi sana, siyo kushobokea kila kitu tuWewe nimshamba!!ujui hatakudanganya unadhani ukiandika hivyo ndo unaonekana babukubwa??eti umemkimbia na gari umeiacha siupumbavu! huo!!Kama hutaki unamwambia face to face kama ameng'ang'ania hataki kelewa!una haki yakusema No!Siyo kumdhalilsha kihivyo!dada wa watu!, so why did you run away??while you left your car behind??je ungerudi usiikute ungemlaumu nani??Katafute wepuuzi wenzio uwaeleze chenga zako!!Or you mean car like taxi??not your own car??silly man!I wsh could i see you!Nikuone ukoje!!