Ukimdate mtu ni laziama mka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimdate mtu ni laziama mka...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eeka Mangi, Aug 7, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wandungu habari za weekend!
  Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi yake iko jengo moja niliko na ofisi) Kwa takribani mwezi sasa alikuwa mchangamfu sana kwangu. Last week on saturday akanikaribisha chakula cha mchana. Nikaenda kwa sababu sikuona ubaya. Akanipitia na gari yake. We had a very good lunch. On monday morning she pass by my office and say hi! Well sikuona mbaya. From that day haishi kutaka kwenda ama luch au dinner au kinywaji na mimi! Jana kanikuta corner na jamaa zangu tunakunywa na kula. Kajichanganya na company. Baada ya mvinyo kidogo kaniambia wazi ananipenda na anataka tukamege tunda jana hiyo. Nilitumia akili ya ziada kumtoroka. Gari ilibidi niiache nitoroke na TAXI. Leo saa hii kaja kafura ka nini! Kaniangalia kwa jicho kali hilo sijapata kuona akaondoka zake. Sasa najiuliza kwani lazima kudinyana na damu au man mkipeana lunch sijui dinner ama kilauri?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sio lazima kabisa, huyo anasema anakupenda lakini sio kweli ni tamaa za kimwili zinamsumbua....ki ukweli wanaume zetu mnapata majaribu sana.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Sema wanawake hawana tabia ya kutongoza tongoza, ila kama mtu anakuchekea siku kibao hadi kaamua kukupa lunch maana ake anakutaka. Sasa wewe ni juu yako kumuweka sawa kama kumweleza ukweli kuwa humpendi wala hutaki zaidi ya kuwa marafiki tu. Nadhani angekuelewa zaidi ya kumkimbia, inawezekana anakutamani kimapenzi basi.
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hukuwa na haja ya kumkimbia bali ungemwambia ukweli tu kuwa huna hamu ya kufanya nae atakacho,hapo sasa umeanzisha chuki isiyokuwepo maana yeye alikuja pale kujumuika nanyi kwa kuwa wewe ulikuwepo,so kumuacha pale na watu asiowajua haikuwa jambo la busara.
  Tafuta namna ya kuishi nae na atambue tu kuwa kutoka na mtu lunch or dinner si kigezo cha kuanzisha mahusiano au kumegana kama alivyotaka,pia inawezekana nawe katika outing zenu umekuwa ukimpa maneno au viashirio nya kimapenzi bila ya wewe kujijua.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,835
  Trophy Points: 280
  Ni lazima!

  Yaani ndugu yangu umeachia kitu imekuja yenyewe asee? Kweli tumeumbwa tofauti. Hebu nirushie contacts zake tafadhali.:love:
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kwa vijana wa mjini wengi ndio siku alopelekwa lunch ndo hiyo hiyo akeenda nae kumaliza yote.......na inaonyesha huyo dada ameyazowea hayo ndio maana akashangaa kuwa wewe hujachangamkia kihivyo
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nooooo. Kanambia kabisa kuwa siku nyingi ananitamani na anataka niende kwake akanipe penzi. Nilimwambia hapana si sawa tuwe marafiki tu. Akaanza vurugu analia mara anasema namwonea mara sikumwelewa. Mbaya zaidi anelewa nina familia yangu. Hataki kuelewa hayo yeye alitaka hivyo alivyotaka. Kisingeeleweka jana hiyo ilibidi nikimbie. Sasa leo kaja na hilo jicho la kuua. Kudinyana naye nasema NOOOOOOOOOOOOOOO!
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kusema ukweli ni mrembo wa haja. Ano uwezo wa kawaida, usafiri nyumba an hela ya kubadilisha mboga. ILA MIMI NILIMCHUKULIA KAMA RAFIKI WA KAWAIDA TU NA SI VINGINEVYO. Inapotokea m2 anakuja na sera hizo, for sure I will say a big NOOOOOOOOOOOOOO!
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,259
  Trophy Points: 280

  Eeeka meku..shikilia hapo hapo!!!
   
 10. L

  Luveshi Senior Member

  #10
  Aug 7, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  ungemwambia ukweli na si kukimbia.......
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  I will mkuu,,,,, ila utamwambiaje kaka. au tamwambia EEKA MANGI ndiye kakwambia anatafuta kadume
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  halafu mdada wa hivyi cjui kama mnapataga stimu kweli, mdada kujilazimishia hivyo ujiulizi anajilazimishia/watamani wangapi?...mtu anajilazimishia kuonjwa? kazi ipo.
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  sasa na wewe una familia ukaenda nae lunch sijui mara dinner mara sijui kitu gani cha nini? kama si kutafuta shari?

  mkeo alijua kama umeenda nae lunch na dinner?
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nashukuru kuckia hivyo...hata akiwa mzuri kama malaika lakini kujirahicsha/tongozesha/ng'ang'ania mtu hivyo anajishushia hadhi yake bwana, angejiheshimu angeendana na uzuri alionao.
   
 15. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  na alienda na gari ya mrembo, hapo kama mie na akili zangu za kuvukia barabara nikiwaona wapo hivyo akaniambia eti ni lunch tu, ni rafiki tu nitamuelewa kweli?...
   
 16. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Gaijin kuna nini kwenda na mtu dinner ama lunch? Mbona ni vitu vya kawaida hivyo? Lengo langu halikuwa baya na wala sikufikiria chochote kibaya hivyo sikuona ubaya wowote. Yeye ndo alikuwa na lengo tofauti. Hata hivyo wife anajua kuwa ku hang na marafiki ni kitu cha kawaida sana kwetu. Hata hivyo jana usiku nilimpa story nzima na alielewa.
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tatizo letu ndo hilo. Je wewe nikikukuta na mwanaume kwenye gari ni hawara yako? Tufunguke akili na tusihukumu Nyamayao!
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ma bro mangi! lyfe la sasa hivi sio la kuaminika kihivyo, kwangu wacwac lazima aisee ukiangalia vishawishi vyenyewe ndio kama hivyo kwa kuwa nakupoenda lazima niwe na wac wac jamani, sasa wachana na huyo binti kabisa, no lunch no dinner..promic?
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkeo kakuelewa kwa maana analifanyia kazi jambo hilo kuwa makini,mwenzako yalinikuta kama haya na mpaka namwambia wife ilikuwa too late ila namshukuru Mungu yaliisha na siku hizi siendi dinner hovyo hovyo labda lunch na si kila mara na mtu huyo huyo.
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  unaona hapo...watu tunatofautiana kabisa, mie hapo nicngekuelewa kirahic...wakati mwingine nahicgi nampa msukuma wakati mgumu lakini ndivyo nilivyo, cjui niseme ni wivu sana.
   
Loading...