Ukimdate mtu ni laziama mka...

Alafu hommie bahati ka izi cjui mie zinanipitia wapi! Yaani unakimbia mbunye ivi ivi!
yaani wewe uko km mimi huyu demu unampiga bonge la sign kisha unatokomea vibaya sana,kulinda heshima.

Bwa bwa bwaaaaaaaaaaaaaaaa! Kha mie mshamba ndo sms alonitumia sasa hivi. Kasema washamba ambao wamekulia mgombani ndivyo walivyo. Eti hajui naringia nini! lol
yah mambo kama hayo jiandae nayo we utakimbiaje nyuchi bana,tena mda si mrefu atakutangazia we bwabwa.:help:
 
Wakuu, nimesoma posts zote, ila kuna kitu sijakielewa naomba msaada!! Thread inasomeka; "UKIMDATE mtu ni lazima mka..............."
Labda tatizo langu ni hilo neno kwenye red, nijuavyo mimi ku-mdate mtu maana yake ni.................. Sasa naona hapa mara lunch, sijui dinner, mara kinywaji, nk. Please :help:
 
Wandungu habari za weekend!
Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi yake iko jengo moja niliko na ofisi) Kwa takribani mwezi sasa alikuwa mchangamfu sana kwangu. Last week on saturday akanikaribisha chakula cha mchana. Nikaenda kwa sababu sikuona ubaya. Akanipitia na gari yake. We had a very good lunch. On monday morning she pass by my office and say hi! Well sikuona mbaya. From that day haishi kutaka kwenda ama luch au dinner au kinywaji na mimi! Jana kanikuta corner na jamaa zangu tunakunywa na kula. Kajichanganya na company. Baada ya mvinyo kidogo kaniambia wazi ananipenda na anataka tukamege tunda jana hiyo. Nilitumia akili ya ziada kumtoroka. Gari ilibidi niiache nitoroke na TAXI. Leo saa hii kaja kafura ka nini! Kaniangalia kwa jicho kali hilo sijapata kuona akaondoka zake. Sasa najiuliza kwani lazima kudinyana na damu au man mkipeana lunch sijui dinner ama kilauri?

nini maana ya ku-date mtu???

Dating is a form of courtship and may include any social activity undertaken by, typically, two persons with the aim of each assessing the other's suitability as a partner in an intimate relationship or as a spouse.

next time tofautisha offer ya kawaida ya lunch au dinner na KU-DATE MTU.
 
yah mambo kama hayo jiandae nayo we utakimbiaje nyuchi bana,tena mda si mrefu atakutangazia we bwabwa.:help:[/QUOTE]

Yeye, wewe na wengine pia semeni mimi bwabwa yoooooooooote yenu. Ningekuwa bwabwa kweli ningepandisha lakini sishobokei mademu kihivyo. Nyie hata mkiona kitobo kengele zinalia. Msigusane na kalio la demu shida. I LOVE MY FAMILY AND MOSTLY I RESPECT AND LOVE MY WIFE. Say NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO TO NGONO ZA HOVYO HOVYO.
 
sio lazima kabisa, huyo anasema anakupenda lakini sio kweli ni tamaa za kimwili zinamsumbua....ki ukweli wanaume zetu mnapata majaribu sana.

Hahaha dada nyamayangu sorry nyamayao hapo uminikumbusha kitu

Wanaume tunatamani halafu ndio tunapenda wanawake wanapenda halafu ndio wanatamani

kwahiyo mwanamke mpaka akuambie anakupenda huchukua muda mrefu sana na ndio maana atakuonyesha mitego yote ikishindikana ndio atakuambia na hiyo inataka ujasiri sana kwa mwanamke so nakubaliana kabisa na dada nyamayao huyo tamaa za mwili zimemzidi be careful man maana ndondondo si chururu ukiiacha ichururu utakuwa umekwenda na maji
 
Hukuwa na haja ya kumkimbia bali ungemwambia ukweli tu kuwa huna hamu ya kufanya nae atakacho,hapo sasa umeanzisha chuki isiyokuwepo maana yeye alikuja pale kujumuika nanyi kwa kuwa wewe ulikuwepo,so kumuacha pale na watu asiowajua haikuwa jambo la busara.
Tafuta namna ya kuishi nae na atambue tu kuwa kutoka na mtu lunch or dinner si kigezo cha kuanzisha mahusiano au kumegana kama alivyotaka,pia inawezekana nawe katika outing zenu umekuwa ukimpa maneno au viashirio nya kimapenzi bila ya wewe kujijua.

Tatizo kaka hawa viumbe kama anakutaka ukimtolea nje halafu ukaendelea naye urafiki wa kawaida ni ishu nyingine bora aendeleze hiyo chuki na ikiwezekana akaenae mbali nampongeza jamaa kwa kumkimbia na kumtunzia heshima shemeji yangu mtarajiwa(hahahaha) kama yupo kwani kwanza huyo demu alikuja bila mwaliko

nakumbuka wakati nasoma chuo fulani demu aliwahi kunitamkia fasta hivyo hivyo nikamwelewesha kuwa ninaye wangu na nikaendelee na urafiki wa kawaida siku moja akaja chumbani kunitembelea bwenini alipoingia akafunga chumba akaniambia nisipo do the needful basi ata pigakelele nataka kumbaka mwana nilikuwa nimeegemea kitandani akaanza kuvungua nguo kama utani nikasimama ghafla nikashikilia tumbo nakulalamika tumbo linaniuma na nakumbuka roommate wangu alikuwa akitumia vidonge vya taifodi hivyo nikamwambia huyo demu anipe vidonge toka kwenye droo baada ya kuona vile akagundua kuwa naumwa nikameza viwili na kumuambia kuwa kama ananipenda basi asubiri nikipona la sivyo ataniua akakubali akaondoka. kuanzia hapo nikajenga chuki kwake na kuvunja na urafiki wake kwangu
 
Anasema alikimbia akaacha gari huo ni udhaifu uliokikithiri ina maana kama angeshindwa kukimbia au kumtoroka basi angemuhudumia haja yake. Cant u stand up firm like a man and luk at her face n say NO? mkeo alivyokuona umerudi bila gari alisemaje? au ulimdanganyaje?

Mimi aliwahi kunisumbua sana dada 1 alihitajigi ushauri wa mambo ya mazeozi nikamsaidia alihitaji namna ya kupunguza unene na kweli mwili wake ukapungua basi akadai anataka kunishukuru siku moja akanitamkia kwamba I may request whatever nikamtolea macho makali nikamwambia aah kumbe basi nipe hapa hapa na ilikuwa mbele ya watu na nikamsogelea kama vile kweli nataka kumvua nguo tangu siku hio mpaka leo heshima simtank
gud trek bro, i wish ma hb wetu wangeweza kukwepa vishawishi kama hivi
 
Wandungu habari za weekend!
Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi yake iko jengo moja niliko na ofisi) Kwa takribani mwezi sasa alikuwa mchangamfu sana kwangu. Last week on saturday akanikaribisha chakula cha mchana. Nikaenda kwa sababu sikuona ubaya. Akanipitia na gari yake. We had a very good lunch. On monday morning she pass by my office and say hi! Well sikuona mbaya. From that day haishi kutaka kwenda ama luch au dinner au kinywaji na mimi! Jana kanikuta corner na jamaa zangu tunakunywa na kula. Kajichanganya na company. Baada ya mvinyo kidogo kaniambia wazi ananipenda na anataka tukamege tunda jana hiyo. Nilitumia akili ya ziada kumtoroka. Gari ilibidi niiache nitoroke na TAXI. Leo saa hii kaja kafura ka nini! Kaniangalia kwa jicho kali hilo sijapata kuona akaondoka zake. Sasa najiuliza kwani lazima kudinyana na damu au man mkipeana lunch sijui dinner ama kilauri?

Mkuu weka heshima hapo,kula tunda then tulia zako wala usijali kabisa,Naamini kabisa ukimla atatulia hatosumbua kiasi hicho!
 
Duh bahati gani hii!!! hivi hawatuoni sisi ambao hatuja oa tehetehetehhehe,..
 
Nooooo. Kanambia kabisa kuwa siku nyingi ananitamani na anataka niende kwake akanipe penzi. Nilimwambia hapana si sawa tuwe marafiki tu. Akaanza vurugu analia mara anasema namwonea mara sikumwelewa. Mbaya zaidi anelewa nina familia yangu. Hataki kuelewa hayo yeye alitaka hivyo alivyotaka. Kisingeeleweka jana hiyo ilibidi nikimbie. Sasa leo kaja na hilo jicho la kuua. Kudinyana naye nasema NOOOOOOOOOOOOOOO!

Wewe usituzuge sisi tunajua kwanza mwanamke anayeweza kukupa lunch,dinner au outing yoyote nimwanamke mwenye busara kwani kaamaua kukamua petrol yake kukupeleka lunch na foleni za hapa mjini!!labda kama mpo ngudu wilayani!!hakuna foleni kwa dari nikero kitu cha kwanza niusumbufu sikwangu tu bali kwayeyote akikwambia njoo mahali fulani wakati wa pickhours niusumbufu usiyokifani!!!Sasa yeye kayaweza yote katoa pesa yake kakurudisha officini kwako bado wewe umeona hakustahili anajigonga kwako???wewe ninani are you prince charles??Eti alikwambia anakupenda ukakataa!1hapo awali kama ulikataa kwanini ulikubali hofa yake??
Ok kakuta najamaa zake unamkimbia unaacha gari ulijua anakuja kudoea bia zako??wakati alishakupa lunch??you're so bad guy next time don't put your thread here if it doesn't make sense!!huyo dada tena unasema uko naye jirani kama wewe ni mjanja ungekaa naye nakumwambia naratiba iko tite then angekuelewa!!Lakini siyo kumdhalilisha kihivyo.:shocked:
 
Wandungu habari za weekend!
Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi yake iko jengo moja niliko na ofisi) Kwa takribani mwezi sasa alikuwa mchangamfu sana kwangu. Last week on saturday akanikaribisha chakula cha mchana. Nikaenda kwa sababu sikuona ubaya. Akanipitia na gari yake. We had a very good lunch. On monday morning she pass by my office and say hi! Well sikuona mbaya. From that day haishi kutaka kwenda ama luch au dinner au kinywaji na mimi! Jana kanikuta corner na jamaa zangu tunakunywa na kula. Kajichanganya na company. Baada ya mvinyo kidogo kaniambia wazi ananipenda na anataka tukamege tunda jana hiyo. Nilitumia akili ya ziada kumtoroka. Gari ilibidi niiache nitoroke na TAXI. Leo saa hii kaja kafura ka nini! Kaniangalia kwa jicho kali hilo sijapata kuona akaondoka zake. Sasa najiuliza kwani lazima kudinyana na damu au man mkipeana lunch sijui dinner ama kilauri?

daaah mjukuu wangu mungu akupe nini weyeeeee.....
 
Hayo mazingira uliyatengeneza mwenyewe,unajua hisia huongezeka zaidi mkiwa karibu sasa daily dinner na lunch unategemea nini and im sure hakukurupuka ila alikuwa hakuelewi nawe ulikuwa nusunusu,unalooooooooooooooooooooooooooooo
 
Wakuu, nimesoma posts zote, ila kuna kitu sijakielewa naomba msaada!! Thread inasomeka; "UKIMDATE mtu ni lazima mka..............."
Labda tatizo langu ni hilo neno kwenye red, nijuavyo mimi ku-mdate mtu maana yake ni.................. Sasa naona hapa mara lunch, sijui dinner, mara kinywaji, nk. Please :help:

mie pia napata ugumu kuelewa hii post..Lakini kwa ule uwezo nilionao ..kwann wakati anaomba mkjibanjue usimwambie ukweli kama haumuhitaji?akinuna kivyake wewe umemwambia ukweli wako
 
mie pia napata ugumu kuelewa hii post..Lakini kwa ule uwezo nilionao ..kwann wakati anaomba mkjibanjue usimwambie ukweli kama haumuhitaji?akinuna kivyake wewe umemwambia ukweli wako

Tanzania hatuna utamaduni huo, kwa hiyo ni kuwaachia wenye utamaduni huo kazi ya ku-date. Lkn kuna watu wakisikia date mara nyingi mawazo yao ni ngono. Inategemea wao wamekua ktk mazingira gani na ktk utamaduni gani.
 
Bwa bwa bwaaaaaaaaaaaaaaaa! Kha mie mshamba ndo sms alonitumia sasa hivi. Kasema washamba ambao wamekulia mgombani ndivyo walivyo. Eti hajui naringia nini! lol

heee hebu actutuc tulikulia mgombani, khaaa mbona hapa yeyey ndio mshamba? analazimishia khaa.
 
Hiyo ndio hali halisi ya mabinti wengi wa sasa hivi,hadhani kwamba akitulia akafanya shughuli zake atatokea wa kumwambia I LOVE U. Hatimaye wanajikuta wanaforce LOVE kwa staili hiyo.
 
kama mimi ndio ingenitokea nimngemramba huyo dem kisha ndio ningemtolea nje kuwa nina wangu na kuanza kumkimbia na kutom-intartaine tena

unajua kupigwa kibuti ni kitu kibaya sana na kilikuwa kinaniumiza sana enzi za mwalimu sasa sitaki kuhamishia yale maumivu kwa mtoto wa kike bora nimrambe halafu katikati ya mchezo nampa ukweli ili hasijione hana bahati hata ya lkurambwa (hii ni kwa mujibu wangu binafsi)
 
Aisee Mangi, umefanya uamuzi wa busara. Maandiko yanasema ikimbieni zinaa. This is exactly what you have done. Congrats.
AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA, ANAFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
 
sio lazima kabisa, huyo anasema anakupenda lakini sio kweli ni tamaa za kimwili zinamsumbua....ki ukweli wanaume zetu mnapata majaribu sana.

ndo maana inabidi mtusamehe tukido ze nidiful.....:A S 8:
 
Back
Top Bottom