Ukimdate mtu ni laziama mka...

Wewe usituzuge sisi tunajua kwanza mwanamke anayeweza kukupa lunch,dinner au outing yoyote nimwanamke mwenye busara kwani kaamaua kukamua petrol yake kukupeleka lunch na foleni za hapa mjini!!labda kama mpo ngudu wilayani!!hakuna foleni kwa dari nikero kitu cha kwanza niusumbufu sikwangu tu bali kwayeyote akikwambia njoo mahali fulani wakati wa pickhours niusumbufu usiyokifani!!!Sasa yeye kayaweza yote katoa pesa yake kakurudisha officini kwako bado wewe umeona hakustahili anajigonga kwako???wewe ninani are you prince charles??Eti alikwambia anakupenda ukakataa!1hapo awali kama ulikataa kwanini ulikubali hofa yake??
Ok kakuta najamaa zake unamkimbia unaacha gari ulijua anakuja kudoea bia zako??wakati alishakupa lunch??you're so bad guy next time don't put your thread here if it doesn't make sense!!huyo dada tena unasema uko naye jirani kama wewe ni mjanja ungekaa naye nakumwambia naratiba iko tite then angekuelewa!!Lakini siyo kumdhalilisha kihivyo.:shocked:

Ni wewe na ukiranga wako tu! Mimi siko hivyo. Kama ni prince tu wanaweza kusema hivyo sielewi ila TO ME IS BIG NO. Ukitaka pasuka! Hayo yako. I will never stop posting my threads unless am burned from this forum. There are so many threads and forums in this site! You can choose the needful for you and not to shout at this. Get lost! lol:mad2:
 
mie pia napata ugumu kuelewa hii post..Lakini kwa ule uwezo nilionao ..kwann wakati anaomba mkjibanjue usimwambie ukweli kama haumuhitaji?akinuna kivyake wewe umemwambia ukweli wako

Huu mfano usiichukulie serious,mfano wewe umemzimia mtu umwambie akakubanjue then jamaa akuambie kwamba hakuhitaji utajifeel vipi hivi??Nadhani kwa sisi wanaume ni wadhaifu sana hatuwezi kusema etiii sikuhitaji ni vigumu sana na kama wapo basi wachache sana
 
Ni wewe na ukiranga wako tu! Mimi siko hivyo. Kama ni prince tu wanaweza kusema hivyo sielewi ila TO ME IS BIG NO. Ukitaka pasuka! Hayo yako. I will never stop posting my threads unless am burned from this forum. There are so many threads and forums in this site! You can choose the needful for you and not to shout at this. Get lost! lol:mad2:

Wewe nimshamba!!ujui hatakudanganya unadhani ukiandika hivyo ndo unaonekana babukubwa??eti umemkimbia na gari umeiacha siupumbavu! huo!!Kama hutaki unamwambia face to face kama ameng'ang'ania hataki kelewa!una haki yakusema No!Siyo kumdhalilsha kihivyo!dada wa watu!, so why did you run away??while you left your car behind??je ungerudi usiikute ungemlaumu nani??Katafute wepuuzi wenzio uwaeleze chenga zako!!Or you mean car like taxi??not your own car??silly man!I wsh could i see you!Nikuone ukoje!!
 
Mkuu vipi unacheza tena offsidetrick wakati dakika unazo kibao? mnyama kajichanganya kabisa, ilikuwa muhimu kumuelekeza jangwani. Huyo ungesuuza halafu ukaosha hakujui humjui then ukampa kadi ya manjano au mrembo mwenyewe kachoka? Huyo ilikuwa umshughulikie hata ikiwezekana umchakachue siku nyingine atakuwa na displine.
 
Kaka una msimamo sana, big up, nin wanaume wachache sana wa style kama yako waliopo nowadays
 
Wewe nimshamba!!ujui hatakudanganya unadhani ukiandika hivyo ndo unaonekana babukubwa??eti umemkimbia na gari umeiacha siupumbavu! huo!!Kama hutaki unamwambia face to face kama ameng'ang'ania hataki kelewa!una haki yakusema No!Siyo kumdhalilsha kihivyo!dada wa watu!, so why did you run away??while you left your car behind??je ungerudi usiikute ungemlaumu nani??Katafute wepuuzi wenzio uwaeleze chenga zako!!Or you mean car like taxi??not your own car??silly man!I wsh could i see you!Nikuone ukoje!!
heheeh greti thinka punguza hasira.
wataalam wanasema hasira zinaweza kusababisha ugonjwa wa kisukari (SOURCE:muhimbili hospital) .
 
Wanaume bwana loh:confused2:
Umeona eeeh!!! Yani wanaume hawafai wanamshauri mwenzao aoshe vyombo kwa ulazima hata kama haistahili.Lol! hebu waone kwanza.Mtulie na 1 sio kuosha osha kwa kila mnaekutana nae.Eeka Mangi ulifanya sahihi kukimbia.Bora lawama kuliko fedheha.Hata Yusuph alimkimbia hivyo hivyo mkewe Potifa.Ila cha msingi ukamweleze kuwa hau-mind mambo hayo hivyo muwe friends tu kikawaida kama anataka.
 
Huyo ana pepo la ngono mwogope na mkimbie kabisa
Ila nikulaumu kwanza kwa ulivyojirahisisha kwake mpaka akafikia hali ay kukwambia anakupenda siku nyingi.Kama ungekuwa serious kwake na kumwonyesha unajali familia yako hivyo hupendi ujingaujinga msingefika huko mlipo sasa.
Mpe ukweli na mbadilikie hata response zako kwake naye ataona upo serious na hata wewe alichozungumza kwako pia kimekukera.Sio yeye ajifanye kununa na kukaza macho.Wewe pia angekukuta umekaza macho na kununa pia angeondoka na hisia tofauti.Ukimlegezea utajikuta UMEKULA MZIGO
 
yaani wewe uko km mimi huyu demu unampiga bonge la sign kisha unatokomea vibaya sana,kulinda heshima.

yah mambo kama hayo jiandae nayo we utakimbiaje nyuchi bana,tena mda si mrefu atakutangazia we bwabwa.:help:

we umeshaoa lakini? nakumbuka ulikuwa unasema unaoa miezi michache iliyopita halafu sasa unasema hivi, ndoa itadumu kweli!
 
Wewe nimshamba!!ujui hatakudanganya unadhani ukiandika hivyo ndo unaonekana babukubwa??eti umemkimbia na gari umeiacha siupumbavu! huo!!Kama hutaki unamwambia face to face kama ameng'ang'ania hataki kelewa!una haki yakusema No!Siyo kumdhalilsha kihivyo!dada wa watu!, so why did you run away??while you left your car behind??je ungerudi usiikute ungemlaumu nani??Katafute wepuuzi wenzio uwaeleze chenga zako!!Or you mean car like taxi??not your own car??silly man!I wsh could i see you!Nikuone ukoje!!
mbona inakuwa kama unalazimisha ugomvi vile, huo ni uamuzi wake na ni uamuzi sahihi sana, siyo kushobokea kila kitu tu
 
Sasa jamani mwanaume akimhitaji binti kimapenzi si anamtongoza!basi hata mwanamke akimhitahitaji mwanaume anajitongozesha.Jamaa alitakiwa asome alama za nyakati tu, kisha amtimizie haja yake huyo bidada!
 
Back
Top Bottom