Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 5,752
- 10,523
Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki
●Tanzania
●Kenya
●Uganda
●Rwanda
●Burundi
●Somalia
●D.R.C
●South Sudan
Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore.
Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga manane yana ukubwa wa 5Mkm² na population ya zaidi ya watu 300M.
Hakuna kitu Singapore anacho haya majinga manane hayana kuanzia rasilimali na kila kitu tena yameizidi kiinchi kidogo cha Singapore kwa utitiri wa rasilimali lakini yamebaki kuwa majinga ya mwisho.
Mind you Singapore ina GDP nominal ya 500+Bln lakini haya majinga manane yamekumbatia umasikini pamoja na utitiri wa rasilimali walizonazo.
Angalia upuuzi wao yote kwa pamoja yana GDP nominal isiyozidi 300Bln kwa hesabu ya haraka haraka yanaweza ingia mara mbili kwa kijinchi kama Singapore ambako ukubwa wake unafukuziana na ukubwa wa Kigamboni.
Yaani Singapore ina ingia mara 7,400 kwa EAC lakini ina uchumi mkubwa karibu mara mbili ya uchumi wa jumuiya nzima na hapo Singapore haina rasilimali zozote za maana hata kuwasogelea hawa wajinga wanane.
Umasikini wa Afrika ni kutokana na ukosefu wa akili sawa hakuna kingine zaidi ya hicho maana hakuna kitu ambacho hatuna wengine wanacho tofauti na akili sawa.