Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,489
- 35,640
Ohooo
WatajeéeeeeNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.🥺🤣🤣🤣nimeziona nne🤣Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Umeiona hiyo🤣Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.🥺🤣🤣🤣nimeziona nne🤣
Ni nani em mtaje basi..!!!Sema wewe.
Yaani mpaka mimi kauzu na ukauzu huu naona litanikuta jambo muda si muda.
Watu wako Pm kimya kimya
Bwashee nimefeli kabla sijaanza.au atajifikiria nimpe muda?Naunga mkono hoja bwashee👏
Una haraka sana bwashee 😅 pole pole ndio mwendo ,kuku wako manati ya nini mangi?
Treeenaaaaa 👌😹😹Nitakutag hata akinidislike kwingine.
Mpaka muda huu hajaja.
Kweli kimeumana.
Yeye si bingwa, mbona hajatia mguu hapa.
Hatuogopi dudu wala mende
wanao koseana ndio wanaopatana,Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Bwashee mimi naona kama unanifariji tu,Una haraka sana bwashee 😅 pole pole ndio mwendo ,kuku wako manati ya nini mangi?
Hapo mchawi dini bwashee, dini iwepo ya kutosha ni wewe tuBwashee mimi naona kama unanifariji tu,
Au acha nisubiri.mambo mazuri hayataki haraka.
😀
Zipo angalia nilizopostBado weye,leta Uzi.
Achana naye huyo baby...Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Kwahiyo io pm ndo inakuaje😂