Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Hapa wamedislike 4 sasa sijui ni yupi au wote umewapiga vibuti na sasa wamekuja huku kwa hasira. 🤔
Shikamoo Jamiiforums
 
Walio dislike wote hawako verified

Sema wanaotongoza JF na picha hamna wana mbinguni lazima twende wote wana imani kunishinda asee.

Picha huoni yani unampenda mtu kwa kumsoma tu comment zake wewe mbinguni sikuachi tunaenda wote.

Kishankuta kitu mimi,uzuri hatukufika mbali ila zile picha kama ndio zake basi alidhamiria nifukuza ila kama sio ZAKE niseme tu mbinu aloitumia nifukuza nayo ali WIN

Achaneni na maandishi kuna Pisi kali sana kimaandishi andishi ila live show ni kina FAIZA huyu apaa meno pause hii apa.

Sema i have my others tunawasiliana naogopa hata tongoza how alivyo mzuri yani mdada mzuri hadi unasema huyu acha awe hv hv ana view status ila simtongozi.

Kuna raha tu unapata kuona ka view status anakufatlia siku 1 moja kwa miezi 6 mara 1 anaku hi hi hi..

Huyo ni m 1 tu in this BIG NUMBERS of wazuri and yes she is so so so mtamuuu and i want you to know that,nakuhusudu ila ukweli guts za kukutongoza sina we twende hv hv hata ukisombwa na wenye guts zao its okay with me ila SIKUTONGOZI NG'O

GENTLEMEN kwa mnaopenda msio waona natangulia kuwaekea siti maana lazima twende wote

Kwa Yalionikuta miaka ya Nyuma JF nina ADABU na wadada wake sithubutuuuuu
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Hivi Id za kike humu mnazijuaje?

Hivi ni kweli kuna wanawake humu
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Mkatae aliyekupenda ki diplomasia, umetumia ukatili zaidi, hii ni gender based psychological violence (GBPV), nashauri mshambuliwa aende polisi, dawati la jinsia ili haki itendeke
 
Back
Top Bottom