Asalam alaykum ustadhat kayfa lihali nimekutumia sms pm karibu tuyajenge.Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Mi mwenyewe nasarandiwa bro 😁Bro Evelyn Salt umeanza kusarandia Hawa madogo huko PM?
Dogo analalamika sana kwa description ya mtuhumiwa Naona kabisa ni wewe....Mi mwenyewe nasarandiwa bro 😁
Wamebisha nini??
Mwanamke hebu punguza mihemkoNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Dislike wapo kumi na mojaNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Kumbe mafundi ujenzi sio wasomi?Mafundi ujenzi wa Marry wamepumzika zamu ya wasomi uchwala 😹😹
Nasemaje mtaje tule naye sahani moja..!!
Ila na wewe si ungempa hata shavu ashike jamani, baridi kali 😹😹
Hii comment chungu mno aiseeWaje niwape uzoefu WA kula vibuti PM nakukaa kimya
Wewe ni mtu mzima ujue!Hawezi kuja.
Ila asijichanganye kuni-dislike kwenye uzi wa member mwingine, namsanua hukohuko.
Na mauzo kama mauzo mengine.Bila screen shots hii itakua chai kama chai zingine tu
😂🤣Na mauzo kama mauzo mengine.