Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,846
Sasa si unalalamika hujawahi kubahatika? 😹😹Mmmmh, sitegeki kihivi Rafiki
Sasa si unalalamika hujawahi kubahatika? 😹😹Mmmmh, sitegeki kihivi Rafiki
Sema wewe.Verifaidi yuza wote njooni hapa nawaita mbwa nyie kwann mnamsumbua mrembo Nusrat? 😹😹
Hamjui kukataliwa? Hivi Vincenzo Jr si verifaidi huyu? Si yeye kweli?
Hebu wataje tuwasuuze mahi..!! 🤣
Mi napenda umbea motroo motroo km huu jamani..!!
Majirani huku 🤣😹😹
Atakuja tu 🤣🤣🤣 we subiri!
Naona kama watatu wamedislike, nani kati yao sasa!!!Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Piga spanaNitakutag hata akinidislike kwingine.
Mpaka muda huu hajaja.
Kweli kimeumana.
Yeye si bingwa, mbona hajatia mguu hapa.
Hatuogopi dudu wala mende
😂😂😂Yaani wanajiona tayari washa piga kura hapo October
Na screenshot ndo itakua tamu tuone kabisa mambo kwa ushahidi😂Hayupo, ila ikifika saa moja kamili usiku namtaja.
Liwalo na liwe.
Mtaje ili uzi uwe bam bam 😂Watu wanapenda sana ubuyu humu kaka.