cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,665
- 78,145
😂😂😂 he kuna na kudislike tena! Ngoja nichungulie huko juu.
Ha ha haaa
Acha kuruka tuka kusoma yaliyo andikwa
Itakuwa Mr aka Mr dislike anamisiwa sana hadi kafunguliwa uzi.. Kamisiwa usumbufu wake..
Aendelee tu kusumbua aiseee
Ila pia wa Mada kasema asiangakie picha sasa sijui yeye ni wa kivipi.. 🤣🤣🤣🤣🤣😂