ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,367
- 118,752
Utapigwa ban!!Hayupo, ila ikifika saa moja kamili usiku namtaja.
Liwalo na liwe.
Utapigwa ban!!Hayupo, ila ikifika saa moja kamili usiku namtaja.
Liwalo na liwe.
Bado weye,leta Uzi.Kuna vituko
Unaweza kukuta wala hakuna aliyemsumbua huko PMHiyo I'd picture uliyoweka na maneno uliyoyaandika hayaendani , picha imekaa kibiashara au ndo unaitangaza kwa njia hiyo?
Sidhani Kama mods, wetu walivyo weledi wa kazi yao wataruhusu hili litokee hata kwa kumtaja kimafumbo kama anavyodai.🤔Utapigwa ban!!
Unacheka uongo,hata hichi kucheki ni chai au unafiki?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanini usipotezee tu maana mpaka hapo ashajua kosa lake na amejufunza. Labda hiyo picha imemvutia afanye anayofanya.Nitataja kimafumbo.
Ngoja saa moja ifike
Japo tuna hisi tu hatuna uhakika pia unaweza kukuta pia mtoa mada ni kidume , kwa hiyo kimemkataa mwamba kimkakati ili kulinda faragha yake🤔Unaweza kukuta wala hakuna aliyemsumbua huko PM
Ameamua tu kupima soko limekaaje kwa sasa,
Natania tu lakini.
Labda kimafumbo, ila name calling ni banSidhani Kama mods, wetu walivyo weledi wa kazi yao wataruhusu hili litokee hata kwa kumtaja kimafumbo kama anavyodai.🤔
Mimi nataka nimzukie mleta mada PM ila naomba aniruhusu hapa kwanza,asije kunitangaza.Japo tuna hisi tu hatuna uhakika pia unaweza kukuta pia mtoa mada ni kidume , kwa hiyo kimemkataa mwamba kimkakati ili kulinda faragha yake🤔
Note: huwenda, ni hisia tu wala sina hakika 🤔
Asione Lamomy hiiNitataja kimafumbo.
Ngoja saa moja ifike
Pambana mkuuMimi nataka nimzukie mleta mada PM ila naomba aniruhusu hapa kwanza,asije kunitangaza.
😀😀
Dah jf 🙌🙌😂Unacheka uongo,hata hichi kucheki ni chai au unafiki?
Mkuu unaweza kunishauri nizingatie vitu gani muhimu ili na mimi nisije haribu kama Mr verified user?Pambana mkuu