Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili
Hao watatu wa mwanzo umepatia sanaa mzee
 
Ukimwi ni ajali kama ajali zingine,,
Ugonjwa hauna formula.. Tunajilinda lakini haukwepeki...
Wewe utajikinda,,,,huyo mkeo au mumeo unatembea nae mfukoni?
Siku yako ikifika huna ujanja...
Omba MUNGU tu akuepushe....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom