Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
Kuna watu walishawhi uita ukimwi ugonjwa wa ndege, nadahani nawewe mawazo yako hayatofautiani sana na wao ila sema wao walipumbazika around seventiz,,
 
Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili

duh hadi presdent kumbee hahahaha umetisha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom