Itawagharimu sana hii kuifuta, sio leo, tunae kichaaUnataka kumlisha mwenyewe maneno,Rais kasema mwenyewe ni kichaa,wewe ndo umekuja na propaganda kwasababu watu wameshaanza kuongelea kuhusu ukichaa wa Rais wako.
Shika jembe ukalime.Amesema yeye ni kichaa.Period.Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.
Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.
Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.
Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.
Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.
Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambieni ameze dawa haraka anakoelekea ni.kuchomoka nduki kwenye.gari kama alivofanya kipindi cha kamorni
Wewe sasa unaleta upuuzi gani? usitutoe kwenye reli sisi kama Taifa tunajadili kuongozwa na rais kichaa.Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.
Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.
Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.
Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.
Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.
Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usikatae (Kwa sauti ya Bwakila)
Shallow analysis, I am sorry, context unaijaji vipi? matendo anayofanya yanashabihiana na kichaa, ndiyo maana watu are banking on this statement! Anayoyafanya , mtu mwenye akili timamu hawezi kuyafanya, sawa na kichaa! Nyerere angelisema neno hilo hakuna ambaye angelilifuatilia! Maana hakuwa na matendo ya kichaa!Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.
Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.
Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.
Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.
Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.
Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
SaluteUnataka kumlisha mwenyewe maneno,Rais kasema mwenyewe ni kichaa,wewe ndo umekuja na propaganda kwasababu watu wameshaanza kuongelea kuhusu ukichaa wa Rais wako.
Maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa wakti tunalipa mabilioni ya kodi zetu kwa maamuzi yake ya ukichaa? Acha ulevi wa kusifia na kungojea teuziNilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.
Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.
Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.
Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.
Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.
Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
Kichaa ni kichaa tu hamna maana nyingine!Hawa vijana wa UFIPA hili suala la MAGUFULI kusema yeye ni kichaa WANATAMBUA kabsa alikuwa anamaana gani ila kwa sababu ya UPUUZI wao na kukataa tamaa juu ya CHAMA CHAO kwenye hili la UKICHAA ndio wanapoona sehemu ya wao kujifariji...ILA UKWELI JUU YA KAULI HII WANAIELEWA