Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Swahili Oxford Living Dictionary
Ufafanuzi msingi wa kichaa katika Kiswahili
: kichaa1kichaa2kichaa3

kichaa1
NOMINO plural vichaa

  • 1
    upungufu wa akili.

    ‘Kuwa na kichaa’
  • 2
    NOMINO plural vichaa
    • 1
      mtu aliyepungukiwa na akili

  • Mkuu usitake kubadilisha maana, tafadhali uite usiku usiku sio jioni kaka. Kwa nini mnapenda kupindisha maana? mnatengeneza utetezi kwa kupindisha maana? why?
 
Hawa vijana wa UFIPA hili suala la MAGUFULI kusema yeye ni kichaa WANATAMBUA kabsa alikuwa anamaana gani ila kwa sababu ya UPUUZI wao na kukataa tamaa juu ya CHAMA CHAO kwenye hili la UKICHAA ndio wanapoona sehemu ya wao kujifariji...ILA UKWELI JUU YA KAULI HII WANAIELEWA
Vipi amekula kinyumenyume tayari
 
Kwani katiba yetu inasema nini juu ya ukichaa, rais akipata kichaa bado atakuwa na sifa ya kuendelea kuiongoza JMT?
 
Kichaaa ni Kichaaa tu hakuna cha propaganda wala Cha context hapa ... Kwani hakuna maneno sahihi yanayoendana na context hiyo ...

Tafadhali bana usimlishe maneno raisi wetu ...

Aliekwambia mtu anaeweza au kuthubutu kuamua maamuzi magumu anaitwa Kichaaa ni nani?

Kuweza au kuthubutu kuamua maamuzi magumu hakuhitaji ukichaa kunahitaji busara na siku zote matokeo ya maamuzi hayo hutupa picha, mtazamo na taswira ya muamuaji ...

Ikiwa motokeo ya maamuzi hayo yatakua chanya kwa maslahi ya taifa basi muamuaji atakua ni mtu au kiongozi mwenye busara na endapo yatakua hasii na kuleta hasara na mpasuko usio wa lazima wa Taifa Basi kiongozi huyo atakua Kichaaa ...

Mfano ... Maamuzi katika Makinikia, Bombadia na drimlaina ... Pia maamuzi ya uvamizi wa kijeshi wa kituo Cha redio uliongozwa na taasisi ya serikali ya mkuu na mmiliki wa mkoa wa Daeslam (in Bashite's Voice) n.k

Hakuna tabia mbaya isiyopendwa na GT wote humu ndani kama kumlisha mtu maneno asiyomaniisha kwa maana unayoijua wewe huo ni upotoshaji Kichaaa ni Kichaaa tu hata iweje ...
 
Jamani tuwe wakweli kidogo. Ina maana hata hili la kujiita kichaa tunawasingizia CHADEMA. Duh. Sitashangaa siku tukiambiwa mikataba ya madini, gesi, umeme, nk waliipitisha CHADEMA.
 
Amesema mwenyewe kwa kinywa chake kama anateua kwa mfano wa ukichaa wake - usimlishe maneno Mheshimiwa- ukichaa ni kama kibiongo
 
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.

Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.

Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.

Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.

Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.

Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.

Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
We kichaa Kweli hiyo ni tafsiri yako sisi tumejua Jana kuna mental disorder at the top
 
Travic,

..wengi wamekuwa wakionya kuhusu kauli tata za Raisi Magufuli.

..wengi wameshauri awe makini zaidi na matamshi yake.

..lakini inavyoelekea ushauri huo hauzingatiwi, na mambo yanazidi kuharibika.

..Raisi siyo mgeni ktk siasa, ana uzoefu wa miongo kadhaa ktk kuzungumza na wananchi.

..Pia ana wasaidizi chungu mzima wenye weledi wa kumuandalia hotuba.

..Kwa hiyo Raisi anapotoka hadharani na kutoa kauli zisizopendeza na zenye ukakasi basi anayepaswa kubeba lawama ni yeye mwenyewe.
Hapo ndipo anapo thibitisha kuwa ni kichaa kweli.
 
Waache tu mkuu!
Sidhani kama hii wiki itaisha tutashuhudia mtu akisimamishwa Mahakamani kwa kutumia hili neno kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa hii ndo uthibitisho wa ukichaa wenyewe. Umesema mwenyewe halafu unawafunga watu wanao kutangaza ulicho sema?
 
Sasa hii ndo uthibitisho wa ukichaa wenyewe. Umesema mwenyewe halafu unawafunga watu wanao kutangaza ulicho sema?
Umemsoma mleta mada vizuri ukamuelewa!? Au unahemuka tu mkuu!? Rudi ukurasa wa kwanza na usome alichoandika mleta mada kwa umakini...halafu rejea.
 
Kuna watu wanajitoa ufahamu tu wa kukataa kuuona ukweli alimaanisha nini Rais aliposema hivyo

Sio kila kitu kufuata mkumbo hapana
Bila kuwa mkali hivyo asingefanikiwa kwa anayoyafanya huu ni uthubutu

Eti ni kichaa na kwa utani au wenye hasira zao wakazivalia njuga

Naomba mkamsome The mad King of Bavaria
Hapo ndio mtajua mwehu ni yupi
 
Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa,
Hayo ni ya kwako mkuu, ila Rais mwenyewe kautangazia ulimwengu kuwa yeye ni kichaa sawa na huyo mteule wake!
 
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.

Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.

Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.

Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.

Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.

Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.

Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
Huoni aibu kumtetea jiwe wakati amekiri yeye ni kichaa ?
Mkuu acha kujidharirisha, yule ni kichaa ndio maana ana hasira za ajabu
 
Ukiumiza kichwa kumfikiria Mh Rais Utapata tabu sana! Ni Rais wa pekee kuwahi tokea na Historia yake itakuwa yatofauti Sana.
Taifa letu linapitia katika kipindi Cha Mpito ambapo tunashuhudia Mambo Mengi Mageni kisiasa na kiuchumi.

Nilichojifunza kwa awamu hii, watanzania wengi wanaishi kwa mazoea, yale wanayotalajia na waliyozoea kuyaona na kuyasikia kwa sasa wanayakosa Hivyo kujikuta wakilalamika kila kukicha kwenye mitandao. Zama zimebadilika ndugu zangu, Speech za JK si za JPM.
 
Kw

Kwani kuna aliepinga kuwa wameelewa kuwa raisi kujiita kichaa nini anamaanisha??maana sio leo mara yakwanza kusema yeyey nikichaa hata alipokuwa bandari alisema yeye kunawakati ana frustrations
Frastresheni ni moja ya visababishi vya ukichaa mkuu!?
 
Back
Top Bottom