mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Kuna siku atajiita mseng.erema. Msaidieni jamani. Au atatoa tusi kubwa kuliko hilo. Ila hatutashangaa kwani keshasema yeye ni kichaa na mshenzi! Hatumlaumu yeye, tumlaumu Mkapa, Kikwete, ccm na inteligensia yote ya nchi kwa kukosa umakini kwa kiasi kikubwa hivi! Ni aibu tupu!