Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Hawa vijana wa UFIPA hili suala la MAGUFULI kusema yeye ni kichaa WANATAMBUA kabsa alikuwa anamaana gani ila kwa sababu ya UPUUZI wao na kukataa tamaa juu ya CHAMA CHAO kwenye hili la UKICHAA ndio wanapoona sehemu ya wao kujifariji...ILA UKWELI JUU YA KAULI HII WANAIELEWA
kuna maana nyingine YA KICHAA?
 
We leo utamtetea kwa hili,kesho mwenzako anakwenda kuibua lingine tena zito zaidi ya hili.

Ni bora kazi ya kukoroga zege kuliko kazi ya kumtetea Magu kwa kauli na matendo yake.

Atawatesa sana na kwa hakika mtateseka.
Katoka kwenye UJIWE kaingia kwenye UKICHAA.
bado sijajua anaelekea wapi
 
Wakuu nimejaribu kutakafakari kwa kina sana lakini sijapata majibu, hivi aliposema yeye na rafiki yake ni vichaa alikuwa anatuma ujumbe gani kwa watanzania, au ni uchuro maana Ile haikuwa kauli ya kawaida, naomba tuijadili kauli hiyo mpaka tupate majibu sahihi.
Mods naomba muuache uzi huu tuujadili kwa kina
 
Maana sahihi ya kichaa inaeleweka nadhani anajua kiwa anaupungufu fulani unaompelekea awe kichaa. He mean it 🤪🤪🤪
 
Hawa vijana wa UFIPA hili suala la MAGUFULI kusema yeye ni kichaa WANATAMBUA kabsa alikuwa anamaana gani ila kwa sababu ya UPUUZI wao na kukataa tamaa juu ya CHAMA CHAO kwenye hili la UKICHAA ndio wanapoona sehemu ya wao kujifariji...ILA UKWELI JUU YA KAULI HII WANAIELEWA
Mimi siyo wa UFIPA ingawaje Ufipani nilifika siku nyingi maeneo ya Matai na Sumbawanga. Lakini hata huko"kichaa' halina maana nyingine zaidi ya kichaa tu! Hivi huyu kichaa wenu amewapa kazi ya kutafsiri maneno yake tofauti na anavyosema yeye au mnajipendekeza nyie wenyewe?
 
Chadema wakiendelea na siasa za matukio, majungu na majitaka hawatafika popote...wajiangalie na kujitazama upya
 
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.

Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.

Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.

Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.

Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.

Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.

Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
We unamwonaje lakini?
 
Hawa vijana wa UFIPA hili suala la MAGUFULI kusema yeye ni kichaa WANATAMBUA kabsa alikuwa anamaana gani ila kwa sababu ya UPUUZI wao na kukataa tamaa juu ya CHAMA CHAO kwenye hili la UKICHAA ndio wanapoona sehemu ya wao kujifariji...ILA UKWELI JUU YA KAULI HII WANAIELEWA
Yaani mnapata tabu sana kuja kututafsiria Rais anachosema!!!!!?
Yeye kasema ni kichaa Na anateua vichaa wenzake!!!!!
Hayo mengine ni yako!
 
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.

Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.

Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.

Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.

Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.

Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.

Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
Hivi nyinyi ma.ta.a.hi.ra wa Lumumba ni watu wa aina gani???Mwenyewe kasema yeye ni kichaa na ndio maana kamteua kichaa mwenzake halafu nyinyi mnakuja kupinga!
 
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.

Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.

Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za kejeli na propaganda kwa namna ile ile iliyozoeleka miaka ya nyuma. Hii kiu haitaisha, mpaka pale Rais atakapoamua kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee kwa mtindo uliozoeleka.

Pili, kauli ya ukichaa imechukuliwa out of context. Na ndivyo propaganda zilivyo. Kwa ambaye hakutazama hotuba nzima, ni rahisi kuchotwa na maneno yanayoendelea mtandaoni kwamba Rais 'amekiri' kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa.

Hata hivyo, Usahihi upo kwenye context, kwamba Rais alizungumzia ukichaa kumaanisha kiongozi mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya taifa, akirejea uamuzi wake wa kukamata meli yenye samaki waliovuliwa kiharamu kipindi akiwa waziri wa Uvuvi.

Kama watu wanafanya utani, sawa. Lakini kama kuna wanaoipa uzito hiyo propaganda kwa kuiamini, nayo ni sawa tu. La muhimu, ieleweke kuwa ni propaganda.

Naamini Rais hawezi kupaniki kwenye hilo!
Bwana MFAFANUAJI, mbona kama umejipa kazi ngumu kuliko sh elfu 7? Naomba unijibu swali moja as per your point of referencing. Maamuzi ya mahakama juu ya kesi ya meli unayoitaja, yanatoa picha gani?
 
mimi ni kichaa kweli kweli[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
maamuzi ya jamaa ni sawa na ile movie ya idd amin dadaa,yan akiamua kitu munaweza kuzimia kwa maamuzi yake,anaweza kugeuza kanisa kuwa msikiti na anatumbua wakati wowote na anapachika mtu yeyote wala asiye na taaluma na sehem hiyo,ni burudan tuuu
 
Unataka kumlisha mwenyewe maneno,Rais kasema mwenyewe ni kichaa,wewe ndo umekuja na propaganda kwasababu watu wameshaanza kuongelea kuhusu ukichaa wa Rais wako.
Mimi nadhani katika wajinga wote nchini wewe ni nabari moja
 
Bwana MFAFANUAJI, mbona kama umejipa kazi ngumu kuliko sh elfu 7? Naomba unijibu swali moja as per your point of referencing. Maamuzi ya mahakama juu ya kesi ya meli unayoitaja, yanatoa picha gani?

Umeuliza swali zuri Mwana,

Kama unafuatilia vizuri mambo, kipindi cha nyuma ofisi ya DPP ilikumbwa na kashfa ya kupiga deal na wafanyabiashara wakubwa hasa kwenye ishu za serikali.. Mambo ya 10 percent (si unajua hela ya serikali ni kama haina mwenyewe). Watu wanasuka mipango, serikali inashindwa kesi, fidia inatajwa ndefu, fedha inaidhinishwa, watu wanagawana!

Na haya si maneno matupu. Matokeo ya tafiti za miaka yote zinaonyesha Mahakama na Polisi ndiko kunaongoza kwa Rushwa.

Halafu huko kwenye uvuvi mkuu we paache tu!
 
Back
Top Bottom