Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Khaaaa mgumu tena ujue kuanzia kesho jiandae kwa yote
We mgumu hukufwii
We mgumu hukufwii
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.
Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu zake katika maamuzi hayo.
Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena.
Aisee, hongera zao wenye mapenzi ya vipimoHapo ndo na mie sijaelewa jamanii.. Hao wanaosema wananipenda kidogo ni uongo tuu, wanakuwaga wanapotezeana muda tu!
Teh tutaambiwa tunapenda sana kuangalia tamthilia za kifilipinoYaan mama mchungaji we ni mimi kabisa![]()
Duh mambo ya kuachana haya yanaumiza muda mwingine. Nilikuwa na mwanamke wangu aisee sikumpenda sana ila nilichoka nae sasa kila nikimuacha analia ananibembeleza namrudia nikanogewa nikamzoea sasa kuna siku akaniudhi nikakasirika sana nikamtamkia bora mapenzi yaishe kila mtu aishi kivyake sasa, yule bint alinijibu sawa kama umeamua hivyo.. Daah ikapita siku tatu mwanamke kakaza wiki kakaza mnh nilikosa raha mimi nilieacha aisee kila nikimuingia labda aniombe msamaha lakini wapi hana time mikausho dadeki ikapita mwezi miezi mwaka miaka mpaka sasa sijui yuko wapi pumbavu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo inaitwaga ego? Ungeomba msamaha wewe ingekuaje? Ukaamua kufa na tai shingoni Dah kumpa ushindi niliona udhaifu sana mkuu![]()
Hii ndo inaitwaga ego? Ungeomba msamaha wewe ingekuaje? Ukaamua kufa na tai shingoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh tutaambiwa tunapenda sana kuangalia tamthilia za kifilipino
Kwa kweli as long as nafsi zetu zinapata furaha, wacha tupendage tuAcha watuambie tu sio sisi kupenda ni kihere here chetu moyo hautaki kusukuma damu kabisa ukipenda umependa
Uko vizuriHayo yalikua yananipa shida hapo zamani.. Siku hizi nkiona hivo namtafuta nimuulize kulikoni.
Kama hana jibu la maana tayari naziamini hisia zangu then anakula block maisha yanaendelea
Imagine nakutana na wengi wanaohitaj kuwa nami nawakataa sababu ya huyo boya mmoja..
Nimekomaa kwakweli.. Sjpelekeshwi zama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaroho ngumu Si mchezoDah kumpa ushindi niliona udhaifu sana mkuu
Naendelea hapo chini...
Si sana mkuu nauweka uwanaume mbele mkuu mi kulia lia au kusikitika mbele ya mwanamke naona udhaifu sana hata nikikuomba msamaa nakuomba kiuwanaume... Sitamki neno samahani mimi., nitakwambia yaishe tu hayo yamepita.
Na wale wanakuwa mke na mme lakini mme kila siku busy mwezi unakatika nao waitweje!Si rahisi lakini ukikubali kuwa ndiyo hali halisi mapenzi yamesha check out, itakupa wepesi.
Unajua rafiki zake wanafikiri ninakuza mambo nimpe jamaa time hata ndugu zangu lakini mimi niliyevaa viatu ninajua vina nibana kiasi ganiNa wale wanakuwa mke na mme lakini mme kila siku busy mwezi unakatika nao waitweje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine yanaumiza na kukera sana hapa duniani, wakimtizama wanajua hawezi fanya mambo kama hayo kumbe huko ndani ni moto, pole sana watu tunabeba misalaba jamani Mungu akupe wepesi bestUnajua rafiki zake wanafikiri ninakuza mambo nimpe jamaa time hata ndugu zangu lakini mimi niliyevaa viatu ninajua vina nibana kuasi gani