Ukiachwa achika

Kwenye kunywa sumu wakati mmeonana ukubwani hilo hapana, japo kuachwa wakati umepoteza muda mrefu inauma sana mkuu
 
Hakuna kitu kibaya na hatari ka penzi la kushinikizana. Kama hakupendi, mwachie kiroho swaafiii aende zake. Hukuzaliwa naye, hujakua naye, mmekutana uzimani. Mkwara wa nini?? Oh! Nitakufanya kitu mbaya, nitakuharibu wengine wakikuona wataapike. Ya nini hayo yote?? Mwache mwenzio ka ulivyo mkutana.
Inauma saana lakini ndo hivyo tena. Niliumia nilipokwenda usiku kama kawa, nikafika, nikakuta njemba imeketi kwenye ile sehemu nimiliyokuwa napenda nikifika nikae. Jamaa hakutoka wala kuaga. Jamaa hakusema chochote, dada wa watu kanitoa nje kidogo, kasema; Huyu alikuwa mfadhili wangu tangu chuo. Sasa kaja dar anasema, hana pa kwenda ila kwangu. Nilisepa kiroho fresh ila hadi leo, moyo unalia. Ni more than 2 yrs now.
 
Najiona mm
Kuna mda ukikaa unaenda kusoma conv zake za nyuma shikamoo mapenzi
Nakazia....
Hahaha hahaha
Unapenda mpaka ukikaa peke ako, unaanza kucheka ukimuwaza! Akikupigia simu unaanza kusmile kwanza ndo upokee... Akikuambia ako na shida unaumia, unawaza namna ya kumsaidia...
 
You could be right, lakini inafaa umuelewe mtu uliye nae vizuri. Kuna watu hawawezi ku-multi task na kuhandle stress. Anaweza kuwa mpenzi mzuri tu akiwa hana kazi nyingi, ikitokea kazini stress zikawa nyingi ni ngumu sana kubalance na muda wa mapenzi. Hii hali tunayo sana wanaume. (Not always the case)
 

Dadake mimi kupendana raha jamaniii... Halafu mtu anakuambia upende kidogo!
Hivi unauambia moyo penda kwa 50%, nyingine zifiche au unafanyaje? Hivi unaweza kumpimia mtu kiwango cha kumpenda? Basi wengine mioyo yetu ina viherehere mno, nikipenda nimependa, nikigoma nimegoma. "To love and to be loved is the greatest happiness of existence"
 
Nimeshalielewa mkuu,..
 
Hapo ndo na mie sijaelewa jamanii.. Hao wanaosema wananipenda kidogo ni uongo tuu, wanakuwaga wanapotezeana muda tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…