Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,093
- 51,695
assume ungekuwa very successful ingekuwa hivyo??????
Sidhani nami napitia njia hiyo. Nampenda lakin nimeshajiandaa kwa chochote.Du ni ngumu sana
eeeeeh! ChalifransiscoAcheni mambo ya mapenzi yanarudisha maendeleo nyuma
We cheka tuu
Ndo kilichobaki
Ndio ivo mzee wa wimbo wa Simeoneeeeeeh! Chalifransisco
We ni player???!!!?Sidhani nami napitia njia hiyo. Nampenda lakin nimeshajiandaa kwa chochote.
Huwa simuoneshi kwa 100% mwanamke akijua unampenda kupitiliza shida huanzia hapo wengi huvimba vichwa na kuanza dharau.
Huwaga naishi nao kwa tahadhari mno. Formula yangu ni
1. Date for Fun,Don't Be Serious
2. Let Everything Flow
3. Don't Be Too Demanding
4.Lower Your Expectations
5. Be Open & Straight Forward
Namuamini Mama Sio Mwanamke Niliyekutana Nae Ukubwani.
Nje ya mada! Hiyo avatar ni wewe hizo lipsi ni wewe,eti nauliza ni wewe..!Inauma sana..
Ni heri akufuate live aeleze msimamo wako kuliko kukuacha kwa style hiyo
Unabaki kwenye sintofahamu, unaweweseka, maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie polee totoooNajiona mimininayeteseka ni mimi jamaniiii huwa naingia mazima na miguu yote miwili
Mungu wangu nisaidie tu jamani
usituletee celibacy huku!!Ndio ivo mzee wa wimbo wa Simeone
Luke 2:29-32
Sio kwa watu wote nahisi, mapenzi ni mambo ya watu ambao wapo weak.Chalii mapenzi ni kama oxygen hayakwepeki
Asante babe
Unaweza usi abstain from sex lakini pia ukawa hupendi. Kwani wanao sex wote ni kwasababu wanaupenso na wanaosex nao?usituletee celibacy huku!!
Kwanini Mkuu?We ni player???!!!?
Nitakutumia ile tam tam yako ya chupa ya green unaipendaga sana.Asante babe
Nje ya mada! Hiyo avatar ni wewe hizo lipsi ni wewe,eti nauliza ni wewe..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah