Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ushamsahau Eli wanguu jamani!Bi mkubwa yupi my sakayo?
Ushamsahau Eli wanguu jamani!Bi mkubwa yupi my sakayo?
EeeehhhHakuna cha bimkubwa wala nn wewe ndio mkubwa na mdogo ebu msamehe tuendelee na mengine
MmmhMsamehe akirudi tena unaachana name kimoja mpe nafasi ya mwisho kwenye moyo wako
Kuachwa kubaya shem, sitaki kuachwa na waridi langu...Umekuwa mpole kama sio wewe uliyenifukuza majuzi habari na hoja
..kwa sababu sina, ukiona hivyo ni utani wangu tu. You're my one n only ujuwe!!!Ushamsahau Eli wanguu jamani!
..asante my darling, sasa ili nijue umenisamehe kabisa, inabidi leo moto uwake![]()












Awww..kwa sababu sina, ukiona hivyo ni utani wangu tu. You're my one n only ujuwe!!!

Moto upii huo tena..asante my darling, sasa ili nijue umenisamehe kabisa, inabidi leo moto uwake![]()
HahahahahahhahahUshamsahau Eli wanguu jamani!
Kabisa.Huyu nae wenzake wanatibu vidonda vinapona maisha yanasonga.
Teh teh, dadako ni mkubwa, yeye amenielewa!!Moto upii huo tena
Kuachwa kubaya shem, sitaki kuachwa na waridi langu...
Asante kwa kunielewa darling!!!
..kwa sababu sina, ukiona hivyo ni utani wangu tu. You're my one n only ujuwe!!!
Hakumbuki eti...Hahahahahahhahah
Hakumbuki eti...
Wanaume aki
Usijali my EliAsante kwa kunielewa darling!!!