Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
MmmhNjoo kwa waziri mkuu nikuombe msamaha, najua umeweka kufuli kubwa![]()
KhaaaaWewe ndio umemuacha bwana kama vipi niwapatanishe
Tupatanishe shem wangu chibonge, halafu tutaenda Lushoto kupunguza stress!!!
Ni mimi luv!!Mmmh
Hivi ni wewe ama?! Siamini ujuee
Khaaaa
Nimekoma...Sasa na wewe uache kubebika na wengine maana mpaka akili inakuhama kabisa
Mie nishamsamehe siku nyingi sana aki..Basi jamani sameheaneni mm nimezoea kumwita eli shemeji pamoja alinikataa mbele za watu
Nimekoma...
KabisaaaI wont get it.... mtu hawezi kuniacha. Unaishi insuch way kwamba akiwepo au akiondoka vyote sawa tuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nishamsamehe siku nyingi sana aki..
Si nilikuambia
Nimekoma shem..Hahahaha na ukome kabisa mpaka mm unaona nakuita shemej nakuzibia
Haya bwanaNi mimi luv!!
Bi mkubwa yupi my sakayo?Haya bwana
Na bi mkubwa utamuambiaje sasa! Naye utamuacha bila sababu ama
Haya bwana
Na bi mkubwa utamuambiaje sasa! Naye utamuacha bila sababu ama
Nishamsamehe mdogo wanguu...Msamehe dada amejua kosa lake mpe nafasi ya mwisho




Umekuwa mpole kama sio wewe uliyenifukuza majuzi habari na hoja
Nimekoma shem..
..niombee tu msamaha ili nimchum mchuchu wangu tena!!
KhaaaaMsamehe basi mrudi kama zamani eenh
Msamehe akirudi tena unaachana nae kimoja mpe nafasi ya mwisho kwenye moyo wakoNishamsamehe mdogo wanguu...
Nafasi ya kunimaliza kabisaaa aki! Unajua venye niliumia eehh
..asante my darling, sasa ili nijue umenisamehe kabisa, inabidi leo moto uwakeNishamsamehe mdogo wanguu...
Nafasi ya kunimaliza kabisaaa aki! Unajua venye niliumia eehh


