Watawala hawana uhakika wa kosa la maalim ndio maana hadi leo bado hawajamshika na kumpeleka mahakamani
Wewe kama unajiamini nenda kampeleke mahakamani kama unoana ni rahisi hivyo.
wabunge haswa vijana wa ukawa wakumbukue wakifata msimamo wa pashkuna mbowe basis 2020 kurudi bungeni itakua ni mwiko.
Kwani kelele zao zimesaidia nini.amiri jeshi mkuu na raisi alitoa hotuba yake ambayo ni mwaka na kuipa dira uongozi wake wakiwemo hao ukawa ambao kwa hotuba yake amewamaliza ukawa.watanzani tumuunge mkono raisi wetu kupasua majipu
Bado haijaeleweka,kuzomea zomea ni ulimbukeni na haitoi taswira ya watu civillised,afterall sio mara ya kwanza na ndio sababu tendo lenyewe la kuzomea wala halikuwa na punch kwa wananchi kwani waliona hakuna jipya na kwamba UKAWA NI ILE ILE.nilikuwa nimekaa na mwanangu wa miaka minne wa chekechea akawa ananiambia "baba waone wale wanafanya kama sisi shuleni" NIMEMNUKUU.
Ndugai kafanya la maana kuwaondoa malofa ukumbini! Mpumbavu ni mpumbavu tuuu! Mi ukawa wamenikera pamoja na kwa niliwapankura yangu. They are morons!
Wabunge wa Ukawa wameelezea sababu zilizowafanya kuchukua uamuzi wa kupiga kelele baada ya Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein kuingia Bungeni hali iliyopelekea kutolewa nje ya Bunge hilo.
Mbunge wa jimbo la Hai ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa Ukawa, Freeman Mbowe alieleza kuwa walishindwa kuvumilia kuona ujio wa Dkt Shein akiingia Bungeni hapo pamoja na msheshimiwa Pandu Kificho ambaye alidai hivi sasa sio Spika wa Baraza la Wawakilishi kwa kuwa Baraza hilo lilikwisha vunjwa.
Tumeshangaa kuona Pandu Kificho anaingia kama Spika wa Baraza la Wawakilishi wakati Baraza limeshavunjwa, tulishangaa kuona Dkt Shein anaingia kama Rais wa Zanzibar wakati huo kipindi chake cha kukaa madarakani miaka mitano kimekwisha kikatiba, alisema Mbowe.
Naye mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu alisisitiza kuwa wataendelea kuonesha msimamo wao huku akimlalamikia Spika wa Bunge hilo kuwa anaendesha Bunge kibabe.
Leo hii askari wenye uniform, mae-FFU askari wa fujo wameingia ndani ya ukumbi wa Bunge. Sasa kwa wasiofahamu, ukumbi wa Bunge katika nchi kama za kwetu na nchi zinazofuata utaratibu kama wa kwetu, ukumbi wa Bunge huwa haingii mtu yoyote asiyekuwa Mbunge. Ndio maana ili Makamo wa rais na wale wakubwawakubwa tuliokuwa tunawapigia kelele? waingie, ilibidi tutengue kanuni ili kuwaruhusu waingie, alisema Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF), Juma Hamad Omary alimtaja Maalim Seif Sharif Hamad kuwa kiongozi anayepaswa kuigwa kwa kuwa aliwahi kukubali kushindwa mara kadhaa licha ya mapungufu kuonekana na kwamba hata alipokuwa Makamu wa Kwanza wa rais na kisha wawakilishi wa CCM kukataa asuhudhurie kwenye sherehe za kufunga Baraza la Wawakilishi, aliamua kutohudhuria.
Chanzo: Dar 24
Wapo sahihi kabisa 100%
Nawapongeza mmeitendea haki kura yangu.
Unataka Atangazwe Kwa Kura Zipi??
Bado haijaeleweka,kuzomea zomea ni ulimbukeni na haitoi taswira ya watu civillised,afterall sio mara ya kwanza na ndio sababu tendo lenyewe la kuzomea wala halikuwa na punch kwa wananchi kwani waliona hakuna jipya na kwamba UKAWA NI ILE ILE.nilikuwa nimekaa na mwanangu wa miaka minne wa chekechea akawa ananiambia "baba waone wale wanafanya kama sisi shuleni" NIMEMNUKUU.
Tundu Lissu atusaidie kufafanua hili. Je, ni kosa ama si kosa?? Enyi nyumbu, semeni basi!!Maalim alisha sema kama halitenda kosa wakamshitaki na pili sheria haisemi kuwa ukijitangaza uchaguzi unafutwa.
Kama tume ilimaliza kutangaza matokeo mshindi alitangazwa nani? Nyumbu mna ufahamu mdogo sana. Ni aibu kupinga facts kwa uongo. Tabia ya kulishwa uzushi mkauamini ni mbaya sana.Tume ilishamaliza kutoa matokeo ndio maana maalim akayapata yake na ya sheni na kuona ameshinda kwa kura zisizopungua elfu 25
Lakini kosa la kujitangazia matokeo ni kosa la jinai ambalo likisibitishwa na mahakama adhabu yake ni milioni 5 au kifungo au adhabu zote mbili.
Kufuta uchaguzi sio hukumu ya kujitangazia matokeo.
Ile Sinema ya UKAWA ya Jana ni watanzania wachache sana ndio wameielewa!
Ukawa lazima watambue uungwaji mkono toka kwa wananchi umeshuka sana, hasa kutokana na siasa zao figisufigisu.
Na kwa mwendo wa Magufuli. Wasipobadili siasa zao za matukio ndio wamejimaliza kabisa!
Tunataka Maalim Seif atangazwe rais wa Zanzbar full stop.