UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

Ile Sinema ya UKAWA ya Jana ni watanzania wachache sana ndio wameielewa!

Ukawa lazima watambue uungwaji mkono toka kwa wananchi umeshuka sana, hasa kutokana na siasa zao figisufigisu.

Na kwa mwendo wa Magufuli. Wasipobadili siasa zao za matukio ndio wamejimaliza kabisa!

Pamoja na kupungua kuungwa mkono na wananchi lakini kila uchaguzi unapokuja wabunge wa upinzani wanaongezeka kwa makumi!!!!!

Je kama uungwaji mkono wa ukawa ungekuwa unaongezeka si idadi yao ingekuwa inapungua siku hadi siku???

TAFAKARI NA KUFIKIRI KABLA HUJASEMA
 
kabila letu mwanamke hatukanwi tunawapa heshima ya kutuzaa na kutulea ingawa hatuwaheshimu kwa kiwango kinachotakiwa, tunaamini kumtusi au kumkebehi mwanamke ni sawa na kujitusi mwenyewe maana toka ulipo umbwa ulikuwa dhaifu na mwenye upeo mdogo! that is nature huwezi kubadilisha exceptional of few! womens.
 
wabunge wa UKAWA walitoka kabla ya rais kuanza kutoa hotuba yake na sikweli walitoka wakati hotuba ikitolewa. Naomba tuweke taarifa vizuri.
 
Waliwahi zomea na pia kutoka bungeni mara nyingi hapo kabla na matokeo yake yalikuwa siyo chanya kivile labda tunategemea miujiza
 
Waliwahi zomea na pia kutoka bungeni mara nyingi hapo kabla na matokeo yake yalikuwa siyo chanya kivile labda tunategemea miujiza

Matokeo hayawezi kuwa CHANYA kwa kuwa watawala siku zote wapo kwenye madaraka kwa kutegemea nguvu za dola na wala hawako kwenye madaraka kwa ridhaa za wapiga kura.

Kwa ufupi watawala tulionao sasa sio viongozi ambao wanaziongoza roho za wananchi wao Bali ni WATAWALA AMBAO WANATUMIA NGUVU ZA DOLA KUTAWALA VIWILIWILI VYA RAIA ZAO.
 
hao ukawa wana tabia za kike za kususa Susa ...

Ndg yangu ukisema Ukawa Kwa ujumla wanabehave kike,ilihali kuna jinsia mbili kwenye umoja huo Kwa maana ya kike Na Kiume unakosea.Mihemko,mapenz Na ushabiki wa kivyama yasikusababishe kuondoka kwenye hoja Na kuingia kwenye abusive language.Mbona kabla ya maswali haya hapo Chini kujibiwa wapinzani walikuwa wamekaa Kimya ukumbini?

1. Kwani kama siyo huyo mdada Mwalimu wa Chuo kikuu manayemnadi kama mbobezi wa sheria lakini siyo mwanasisa mkomavu.kugomea Muongozo wa wasomi,wanasheria Na wanasiasa nguli waliofanya mambo makubwa kwenye nchi hii nje Na ndani kwenye mijadala mikubwa ya bunge iliyo-shake nchi .Na kusoma vifungu vyepesi vinavyo-favor serikali Na kuhalalisha uwepo wa kisichokuwepo Zanzibar wapinzani wangepiga Kelele?

2.Kwani kama Dr.Shein angekubali kwenda kukaa Na Mwenzie Retired president Jakaya Mrisho na Amani Abeid Karme wapinzani wangepiga Kelele?

3.Kwani Kama Pandu Amiri Kificho speaker aliyemaliza Muda wake angekubali kwenda kukaa Na Mwenzie retired speaker mama Anna Makinda Na Piusi Msekwa wapinzani wangepiga Kelele?

4.Kwani Kama zec wange-declare mshindi Kwa majimbo 18 ya Pemba Na maV ya unguja Kwa overall winner wapinzani wangepiga Kelele?

MY OPINION:
Watanzania wengi mnapenda kujadili CONSEQUENCE ya jambo hamuangalii SOURCE. Look here..... Your own kid amemwaga cooking oil ndoo nzima uliyonunua Kwa elf.40.

House Admin.ambaye wengine you are calling (house girl or house made.wengine beki 3) japo mimi sipend hayo majina ulishampa kiasi cha kupikia ya wiki.

Hivyo hahusiki Kabisa. Baba/Mama unakurupuka kumpiga HOUSE ADMIN wako kwamba Amekuingizia Hasara kubwa alipe kwenye mshahara wake ama unamfukuza Kazi Kwa uzembe.

Wakati kumbe baba Na mama wenyewe mmekwenda kulewa baa mmeondoka Na funguo ya chumba cha kuhifadhia nafaka Na vyakula mkiwa mmebana kufuli kabla ya lock kuingia kwenye bawaba.hapo Mzembe ninani?

Kweli hii ni "NCHI YA KUSADIKIKA...."

Kikurajembe
 
Tume ilishamaliza kutoa matokeo ndio maana maalim akayapata yake na ya sheni na kuona ameshinda kwa kura zisizopungua elfu 25

Lakini kosa la kujitangazia matokeo ni kosa la jinai ambalo likisibitishwa na mahakama adhabu yake ni milioni 5 au kifungo au adhabu zote mbili.

Kufuta uchaguzi sio hukumu ya kujitangazia matokeo.


hayo yalikuwa matokeo yake,hata lowassa alikuja na matokeo yake mkajikomba hadi kupeleka icj kiko wapi leo??mnaweza kuleta mrejesho ishu yenu na icj imeishia wap??upinzani hamjui mnachokipigania zaidi ya matumbo yenu tu.....15yrs now mnalalamika tume tume bado kila uchaguzi ukija mmo mnakubaliana taratibu za mchezo na kusaini,matokeo yakitoka mnaanza wimbo wenu vipi wapinzani???jiangalieni sometimes ni upumbavu wenu
 
You are defenetely right, sir/madam!

They should have gone beyond that kwa ku disperse ndani ya ukumbi kwenye kundi la wabunge wa CCM na tungeweza kushuhudia mbunge mmoja wa upinzani akikabana koo na wabunge 2 au 3 wa CCM na wakati huo huo askari wakiruka juu ya meza na viti kukamata mmoja mmoja na kwa kuwa hawawajui si ajabu hata wa CCM wangekula kibano tu, si unajua jamaa huwa non selective?

Pengine tungeshuhudia mabomu ya machozi ndani ukumbi wa bunge jana!!

Jambo hilo nalisubiri kwa hamu sana litokee kama ujinga wa kusigina katiba utaendelea.
Naamini MTU kama John Heche au Mwita Waitara akijiingiza kwenye kundi la wabunge wa ccm anao uwezo wakuwagonganisha vichwa wabunge 5-7 na kuwaacha wakilamba sakafu.
Yale ya Ukraine na Kenya ndio njia ya kuheshimiana
 
Hakuna lolote UKAWA ni wapenda fujo tu, kama walikuwa awaungi mkono si wasinge enda tu. Kulikuwa na sababu gani ya kuingia na kupiga makelele kwakujua wataishia kutolewa wakati a more matured approach to their protest would have been not to turn up.

Yote hiyo ingekuwa na impact sawa na message ingekuwa ni ile ile kwa jamii; lakini kwa wao lazima watafute publicity yenye makelele hoja si vitu walivyozoea sums up uwezo wa kiongozi wao.
 
Dawa ya moto ni moto tu ccm kwa hili tumekuwa wapole mno kama wao wanaona sawa alichokifanya maalim seif kujitangazia matokeo basi liwalo na liwe ccm na wao tangazeni mmeshinda .kwanza maalim amevunja katiba ya zanzibar kimsingi angetakiwa awe mahakamani pili kiuhalisia huitaji hata elimu ya darasa la kwanza wala tochi kujua ukweli kwamba maalim seif zanzibar ameshindwa kihalali isingekuwa el na team yake kuchakachua matokeo ya zenj na kumrushia maalim seif hii jeuri ingetoka wapi? mm nawalaumu sana zec na polisi zenj kwa hili mmetuangusha alichofanya maalim seif ndicho hicho alichotaka kufanya el sema huku walimuwahi mapema.
 
Wapo sahihi ccm wamezidi nchi Kama yao Kama mtu kashinda si apewe jamani Mungu yupo tumechoka jamanii aiii
 
Dawa ya moto ni moto tu na kama wao wamemwaga mboga ss tunamwaga ugali ccm kwa hili tumekuwa wapole mno kama wao wanaona sawa alichokifanya maalim seif kujitangazia matokeo basi liwalo na liwe ccm tangazeni mmeshinda zanzibar . maalim amevunja katiba ya zanzibar kimsingi angetakiwa awe mahakamani
 
Dawa ya moto ni moto tu ccm kwa hili tumekuwa wapole mno kama wao wanaona sawa alichokifanya maalim seif kujitangazia matokeo basi liwalo na liwe ccm na wao tangazeni mmeshinda .kwanza maalim amevunja katiba ya zanzibar kimsingi angetakiwa awe mahakamani

Watawala hawana uhakika wa kosa la maalim ndio maana hadi leo bado hawajamshika na kumpeleka mahakamani

Wewe kama unajiamini nenda kampeleke mahakamani kama unoana ni rahisi hivyo.
 
Back
Top Bottom