Makofuli aonyeshe uungwana kwa vitendo,yeye kama rais anajua matokeo halisi ya zanzibar,kama anataka kuwa kipenzi cha watu aanze na kumtambua maalim seif kama rais,aache kishabikia chama cha mapinduzi.isije ikawa HAPASTORY TU,HAKUNA KAZI#
Urais siyo Magufuli tu, ni zaidi yake binafsi! Ndiyo sababu anahitaji kuombewa na anatamka mwenyewe hitaji hilo la maombezi! Nguvu ya mamba iko majini!