Bado haijaeleweka,kuzomea zomea ni ulimbukeni na haitoi taswira ya watu civillised,afterall sio mara ya kwanza na ndio sababu tendo lenyewe la kuzomea wala halikuwa na punch kwa wananchi kwani waliona hakuna jipya na kwamba UKAWA NI ILE ILE.nilikuwa nimekaa na mwanangu wa miaka minne wa chekechea akawa ananiambia "baba waone wale wanafanya kama sisi shuleni" NIMEMNUKUU.
Hata waziri mkuu wa wingereza tukopata misaada anazomewa kwa kuzungumza yasyopendwa ,sembuse wa kwetu aliyeongezewa muda wa kutawala. Heri kuonyesha yanayokukera rahoni kuliko kuishi kama kondoo. ujumbe ilifika hata kama hautakuwa na majibu.