Aisee wacha wee jamaa bonge la mtabiri tusaidie itakuwa tarehe ngapi! ?Utabiri toka kwa babu wa mwanga stand ya k....asiyeamini na aache na wengine tusubiri matokeo...mtaukumbuka uzi huu. Babu anasema tatizo la kusambaratika ni kutofautiana kwa maslahi kati ya wagombea ndani ya chadema na si kingine. Kunawatakao zira kuendelea na kampeni na wengine kufikia hatua ya kujitoa chamani.
My take: Muda ni rasilimali jaribu kutunza kwa subira ukibisha bisha sana utapoteza kwa kukosa maarifa.
Dr Slaa na Prof ni wasomi wenye ueledi mkubwa sana. Kuna jambo wameshaliona laja mbeleni hawajataka wawe sehem ya aibu hiyo.
CDM masrahi wametia bingo mfukoni sahivi wanakula ndogondogo ..chama kimegeuzwa kampuni ya wahuni wasaka tonge madarari wa nchi yetu
Chilisosi vipi zile ndoto zako za kugombea ubunge Iringa? Ziliyeyuka?Hata siku moja muungano wa fisi na nyumbu hauwezi kudumu
Utabiri toka kwa babu wa mwanga stand ya k....asiyeamini na aache na wengine tusubiri matokeo...mtaukumbuka uzi huu. Babu anasema tatizo la kusambaratika ni kutofautiana kwa maslahi kati ya wagombea ndani ya chadema na si kingine. Kunawatakao zira kuendelea na kampeni na wengine kufikia hatua ya kujitoa chamani.
My take: Muda ni rasilimali jaribu kutunza kwa subira ukibisha bisha sana utapoteza kwa kukosa maarifa.
Sina lingine rais ni John pombe magufuri