UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

yani pesa za umma zinaliwa halafu unaziita ngonjera kweli ccm imepenyeza sumu ktk ubongo wa baadhi ya vijana hadi kupoteza kutojitambua na thamani ya taifa lao kifo kibaya hiki ewe mungu mnusuru huyu kijana aamke awe mzalendo kwa taifa lake anaebariki wizi unaopelekea baadhi ya raia wenzie kupoteza maisha barabara mbaya,elimu hovyo hospital hakuna madawa daaaaaaa

Wewe bado mtoto mdogo hujui kupambanua mambo!Fuatilia Ruzuku mliyotafuna ni sh. Ngapi kama huna majibu nenda kwa CAG atakuambia acha kuweweseka wewe kutetea wezi na mafisadi wa Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCM!
 
Haha ha nilidhani utanitajia viongozi wenu wakuu, kumbe bado unamtaja mzee wa Vitz!

hata mbowe na slaa wako safi kama wengekuwa wezi hakika gwanda la kijani lingepata pa kufia huwa ni skendo za kusuka ktk bunge la escrow ashumta mshana alijaribu kumataja mbowe kwa data feki zungu mwenyewe kutoka ccm alimuamuru afute kauli zake kw kuwa hazina ushahidi ila ccm toka ikulu hadi chini kila kitu kpo ktk makaratas

nimekupa mfano wa watu wadogo wasafi usafi unaanzia chini kumbuka kuanzia ngaz za vyuo wale makamanda wa vyuo walio ktk mfumo wa ccm wote wamewaibia pesa wanafunzi noma sana.
 
Wewe bado mtoto mdogo hujui kupambanua mambo!Fuatilia Ruzuku mliyotafuna ni sh. Ngapi kama huna majibu nenda kwa CAG atakuambia acha kuweweseka wewe kutetea wezi na mafisadi wa Ruzuku wanayopewa na Serikali ya CCM!
cheki unavyopotoshwa na taarifa za ki ccm eti cag????? daaaaa hadi nakuonea huruma serikali ya ccm ndo wez wenyewe wanapata wap pesa akam sio wez wa kuuza twiga na madini
 
hata mbowe na slaa wako safi kama wengekuwa wezi hakika gwanda la kijani lingepata pa kufia huwa ni skendo za kusuka ktk bunge la escrow ashumta mshana alijaribu kumataja mbowe kwa data feki zungu mwenyewe kutoka ccm alimuamuru afute kauli zake kw kuwa hazina ushahidi ila ccm toka ikulu hadi chini kila kitu kpo ktk makaratas

nimekupa mfano wa watu wadogo wasafi usafi unaanzia chini kumbuka kuanzia ngaz za vyuo wale makamanda wa vyuo walio ktk mfumo wa ccm wote wamewaibia pesa wanafunzi noma sana.

Basi kijana wa BAVICHA kwishaaaa, ukiitwa msukule usije juu! Huo usafi wa Babu uko wapi?na huyo mfanyabiashara usafi wake uko wapi? Waambie wakupe data za RUZUKU na kesi za ndoa kati ya Babu na mke wa mtu ukipata data zote ndo urudi hapa acha kutumika!
 
Nilijua utarukaruka kwa sababu wewe bado mtoto mdogo!na kadri muda unavyozidi kwenda unaehuka!
 
Unajua avatar yako siyo kabisa ung'ataji hauruhusiwi kwenye mchezo, uukiona mwenzako anajiandaa kushinda unatoa meno yako kuharibu sura za wenzio. Koma kabisa.

Povu limejaa usoni mkuu mpaka huoni,daa kumbe yule aliyesema CDM kuna watu wamegeuzwa misukule kwa maslahi ya kusimamia gwanda? Aibu iwe juu yako.
 
Wewe ndo umetumwa maana ulipooona post inayohusu kuvunjika kwao basi BP yako ikawa juu, sasa unahemea juu juu na kutoa povu kama hivyo ufanyavyo. Pole sana acha kupanick. Ulichoandika hapo sawa na Sifuri na haisaidii kitu, Ukawa mbioni kuvunjika. Mende msaliti wewe acha kutetea wezi hao na wahuni wenzako.
msaliti ni wewe unayetaka kupotosha watu wakisapoti chama kilichojaa majambazi. sitosema mengi sana kwasababu nishaelewa huna akili timamu, hata hayo uliyosema umekremishwa, kwasababu haiwezekani mtu mwenye hekima akaja hapa kushadadia chama kilichohusika mara zote na uwizi wa mali ya umma, kila skendo ni ya ccm, na wengi wa hao mafisadi waliohusika wanarudishwa sasa kugombea, tena kugombea uraisi kabisa. Wewe huitakii mema hii nchi ndiyo sababu unaishauri vibaya UKAWA, unashauri wakikubali chama kilichoundwa na msaliti, chama chenye viongozi waliowaita UKAWA wasaka tonge. Na nikujulishe tu kuwa, wewe ndiyo unatoa mapovu hapa kwasababu unaongea tu pumba bin bullshit, ACT baada ya ziara yao kutangaza chama nchi nzima wakatoka na wanachama 700 tu, mathematically,their effect towards our votes is almost negligible. Sasa kaka jay milionea, nafikiri kama jina lako unafikiri maisha ni bahati na sibu, ila kwetu sisi siyo, kujihakikishia kuwa mipango itafanikiwa kufanyika kama ilivyopangwa tunajiepusha na wasaliti kama ACT,zitto na wewe. UKAWA kuna vichwa, wise people, siyo magarasha kama kule kwenu. na conclude na msemo wa philos[opher SUN TZU(haiwezekani uko kwenu mkajua huyu),ila alisema, "fools go to war to fight, but wise people go to war winners already!", sikilizia sasa
 
Nilijua utarukaruka kwa sababu wewe bado mtoto mdogo!na kadri muda unavyozidi kwenda unaehuka!

huna cha kuongea ushaanza kutoa lawama ooo sijui mtoto mdogo mala unarukaruka halafu unakuja na hoja ya kitoto et ruzuku fafanua imeliwa vp??? mala fuatilia kwa cag gwanda bana na huyo cag mwenyewe yupo chini ya ccm ajabu ilioje huwez kuweka uchafu wa vyama vya upinzani kwa kuwa hata wenye chuki wameshindwa kuuonesha ulipo wamebaki mwisho wao ni siku flani wanatabiri kama shehe yahaya na pweza mtabir halafu magamba hayo hayo yanachukia wizi,ufisadi na umasikini kama hayapo ndani ya hiyo serikali
 
Basi kijana wa BAVICHA kwishaaaa, ukiitwa msukule usije juu! Huo usafi wa Babu uko wapi?na huyo mfanyabiashara usafi wake uko wapi? Waambie wakupe data za RUZUKU na kesi za ndoa kati ya Babu na mke wa mtu ukipata data zote ndo urudi hapa acha kutumika!
mke wa mtu unamjua ww na inahusikaje hiyo mada yako hapa soma kichwa cha habari hapo juu halafu ndo uandike pili una ushahid?? ulikuwepo wakat wanatongozana? na huyo mmewe yupo wap? na alichukua hatua gani baada hiyo ndoa yake kusalitiwa ccm hamjaacha kutunga mambo skendo za kina wema had ktk siasa noma sna hamna cha kuongea mnahamia hadi huko wenzenu wale juu kama kishada endeeleni kupika skendo hapa tunajadili wizi na ufisadi na uanavyowaogopa bavicha had umeawtupia kwni ww uvccm????
 
:drama: Shtuka wewe, amka na acha kung'ang'ania usichokoijua usiwe una mwaya mwaya tu wewe:msela:
 
Dr. Slaa ni dokta wa mapenzi tuu siasa sio size yake unampwelepweta anforce king tuuu, yeye kipaji chake ni kuchukua wake za watu na kula ruzuku za chama chake cha Wachumia matumbo a.k.a CHADOMO

sijui ulikusudia nini hapo upo nje ya mada hatujadili maisha binafsi ya watu wazinzi wapo kila sehamu na ni tabia ya mtu huko uliko najua wajua siasa za ccm bana mala wake za watu mala ruzuku mala chadomo angalia mwenzio nnachokiandika hapa

naichukia ccm kwa kuwa imeshindwa kumkomboa mtanzania ktk suala zima la umasikini na miundombinu mibovu wakat tuna rasilimali za kutosha rejea kagame alishawah kusema akipewa bandari ya dar tu atafanya mambo makubwa sana hapo hajahusisha rasimali zingine wao ccm wamejikita ktk ufisad,wizi na kupiga dili zaidi mfano eppa,richmond,meremeta,escrow na uozo uliopo ktk halmashauri zetu pi wanyama kupanda ndege,,,,,

silikiliza hoja za watia nia wa ccm ni kioja yale mambo waliyokuwa wanayalalamikia upinzani bas viongoz wenu wameyachukua kama vile wamekihama chama inachekesha sana.
 
Huu ni usemi au ni kitendawili? "mala wake za watu mala ruzuku mala". Zungumza kiswahili fasaha wewe.
 
Hahahaha yaani kiswahili kwake huyo jamaa ni sheeedah haeleweki nahic ni mhamiaji haramu toka Burundi maana hajui kiswahili vizuri msamehe bure tu!
 
mke wa mtu unamjua ww na inahusikaje hiyo mada yako hapa soma kichwa cha habari hapo juu halafu ndo uandike pili una ushahid?? ulikuwepo wakat wanatongozana? na huyo mmewe yupo wap? na alichukua hatua gani baada hiyo ndoa yake kusalitiwa ccm hamjaacha kutunga mambo skendo za kina wema had ktk siasa noma sna hamna cha kuongea mnahamia hadi huko wenzenu wale juu kama kishada endeeleni kupika skendo hapa tunajadili wizi na ufisadi na uanavyowaogopa bavicha had umeawtupia kwni ww uvccm????
Mbna unamtetea sana huyo dr. Wako au na wewe kakuoa? Kama ni shemeji tuambie tu usione aibu dada
 
misukule ipo ccm mfano kuna team lowassa na anajulikana kwa matendo yake halafu akisimama anakwambia anachukia umasikini yupo ccm toka 1980's
Acha kuongea pumba chakula cha ng'ombe wewe weka hoja Lowasa wa nini? Au unatamani awe baba yako? Hahahaha
 
Mmawia Orijino mwache, radika hajui atendalo maana hata dira ya wapi anakenda hajui. Mambo yote ya vyama vyama vyenyewe ndiyo vinajua taratibu zao. Usipoteze muda kwa kuumia kichwa. Hizi hatua za mwanzo ni zao, hatua ya pili ya kupiga kura ni yetu mimi, wewe na watanzania wote. Jukumumletu ni kupiga kura. Sasa hakikisha unakitambulisho cha mpiga kura ili utekeleze wajibu wako ipasavyo.
 
hatari tupu magamba bana chakula cha ng'ombe tena na pumba mmekamatika hoja huoni ahapo mtu toka 1980's yupo ccm hadi leo 2015 aseme anachukia umaskini alikuwa wapi miaka ya nyuma kupambana nao na utatumia kila aina ya sentes huwa tulia na fact hatupanic zaid utaambulia vumbi tu
 
Mmawia Orijino mwache, radika hajui atendalo maana hata dira ya wapi anakenda hajui. Mambo yote ya vyama vyama vyenyewe ndiyo vinajua taratibu zao. Usipoteze muda kwa kuumia kichwa. Hizi hatua za mwanzo ni zao, hatua ya pili ya kupiga kura ni yetu mimi, wewe na watanzania wote. Jukumumletu ni kupiga kura. Sasa hakikisha unakitambulisho cha mpiga kura ili utekeleze wajibu wako ipasavyo.

hahahahahah ushauri huo noma sna na nimechaka sna eti hajui anakoelekea kwa hiyo akikwambia ukawa inavunjika huyo jamaa ndo anajua atendalo jf inanipa raha sna .
 
Back
Top Bottom