Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 717
- 945
Utabiri toka kwa babu wa mwanga stand ya k....asiyeamini na aache na wengine tusubiri matokeo...mtaukumbuka uzi huu. Babu anasema tatizo la kusambaratika ni kutofautiana kwa maslahi kati ya wagombea ndani ya chadema na si kingine. Kunawatakao zira kuendelea na kampeni na wengine kufikia hatua ya kujitoa chamani.
My take: Muda ni rasilimali jaribu kutunza kwa subira ukibisha bisha sana utapoteza kwa kukosa maarifa.
Kipindi hicho CCM itakuwa chama cha upinzani.