UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

Jay Milionea

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,185
Reaction score
154
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.

Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.

Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.

Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.

Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?

Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.

Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.

Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi.

KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!

‪Source: Chief Lutasa Yemba.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    27.6 KB · Views: 1,033
Kazi ya shetani ni kuchinja, kuiba na kuvuruga. Mashetani wanameza mate sana ukawa ivunjike,kwa kujaribu ku create confusions ambazo kimsingi hazipo.

Hivi kati ya CUF na CHADEMA kipi ni kikubwa? Hakuna mtu reasonable atataka equality wakati base tayari iko tofauti sana. Kuwaingizia wivu na tamaa wajumbe wa ukawa ni kupoteza muda kwa sababu hesabu za kawaida tu zinatosha kuanisha kila chama kinapata considerations kwenye UKAWA kutokana na uwezo wa nguvu zake. Hakuna mshumaa kwa mwingine kwa sababu hata wakisema leo wafanye solo, hakuna CHAMA kitafikia kiwango kilichokusudiwa ndani ya UKAWA.

Uswahili usiwe ujinga. Maana ujinga ni hasara ya hatari.
 
Tokea mwanzo nilisema kuwa UKAWA umeundwa kwa mihemko ya kisiasa, na lengo kuu likiwa ni kuteteta Rasimu ya Katiba ya Warioba. Ghafla wakatangaza kuwa umoja huu utaendelea mpaka uchaguzi mkuu, ili lilikuwa ni suala la kukurupuka kwa mihemuko ya kisiasa hawakujipa nafasi ya kulitafakari kwa kina. Ninachokiona ni kuwa vyama vilijiunga kwa malengo binafsi ya Vyama vyao na walinaposhindwa kuyafikia malengo yao ndiyo unatokea mparaganyiko. Ushauri wangu ni kuwa, bado hawajachelewa wanaweza kuupata muhafaka lakini wakiona wanasuasua wasipoteze muda, vunja UKAWA kila chama kisimame kwa miguu yake chenyewe.
 
Aksante sana Jay Millionea, Umetumwa na hao waliokutuma hawana habari kuwa kwao tayari moto ushamaliza kazi unatafuta kichaka kingine kabla haujazimika.
Twajua kuwa hao waliokutuma ni wale wale ambao wamezoea kununuliwa ka weye. Usiogope kuwaambia kuwa, UKAWA hawavunjwi nia yao kwa maneno ya kufikirika wala kutongozwa. Weye ni kuwadi wa kisiasa tu na umetumwa kutia mawazo maovu ndani ya UKAWA. Elewa, weye si wa kwanza kuutabiria UKAWA kusambaratika. Wapo waliosema ni kabla ya BMK kuvunjwa, wako wapi? BMK limevunjika likaacha UKAWA. Hao mafisadi na makuwadi wao wa kisiasa watavunjika vipande wauache UKAWA. Hili ndilo tegemeo pekee la kuing'oa ccm na kuisagilia mbali na kuiacha vumbi HAKIKA Ukawa ni nyota ya Mungu wetu
 
Wewe ndo umetumwa maana ulipooona post inayohusu kuvunjika kwao basi BP yako ikawa juu, sasa unahemea juu juu na kutoa povu kama hivyo ufanyavyo. Pole sana acha kupanick. Ulichoandika hapo sawa na Sifuri na haisaidii kitu, Ukawa mbioni kuvunjika. Mende msaliti wewe acha kutetea wezi hao na wahuni wenzako.
 
Hawa jamaa kinachowaponza ni ubinafsi unatawala, maslahi tumbo mbele na uroho wa madaraka unawatafuna!wajiandae kukung'utwa kwa mpigo na CCM na sijui nani atampoza mwenzake maana wako kwenye boti moja itakayozamishwa ghafla Oktoba!
 
Kuandika hujui, hata kuhesabu??? Imekula kwenu mawakala wa kuzimu.

Uchochezi wenu umedunda. Anzeni kivingine!!!!!!!!

Mkuu usipate shida sana niambie majimbo tata 12 ya UKAWA mmeshapata wagombea?au bado zinapigwa!
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.
Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.
Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.
Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?
Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.
Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.
Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,.
KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!
‪Source: Chief Lutasa Yemba.

mkuu nilichokiona hapa ni kulalamika ..............................sijajua yeye kama kiongozi wa CUF
 
MMMMMMM! mihemko hiyo kiboko. Sasa wanaelekea kubaya. Kweli kuna umoja hapo?
 
Kiongozi hiyo ndo shida yenyewe, ukiona malalamiko ujue kuna kansa inatafuna,Kama unabisha check uwiano wa uteuzi wa vyama vya ukawa ZNZ ndo utajua, ina maana nguvu ya vyama vingine iko bara, tena sio kubwa kiivyo sasa kwa mtaji huo hawatafikia lengo ni muungano maslahi.
 
Mkuu tabia ya kuingia jikoni kuanza kupekuwa masufuria ya matango na mboga zikiwa bado motoni, si nzuri. Waache wapishi wamalize kazi yao, wakiwa tayari,, utaalikwa mezani kula.

Kuwahi kupata ama kuchelewa kupata kuna athari gani ikiwa bado UKAWa wako ndani ya muda? Deadline ya tume ingekuwa imefungwa, ulikuwa na haki ya kuhoji.

Kama vile ccm wanavyohangaika kutafuta wadhamini na maigizo ya kuwapa watu fedha ili wajitokeze kwa wingi kwneye hizo show, waache UKAWA nao wafanye michakato yao.

Mchakato ukikamilika, utapewa jina. Usilazimishe wafuate utashi wako wakati wana taratibu na vipaumbele vyao. Walianzisha ukawa bila mchango wala ridhaa yako, hawahitaji mwongozo wako juu ya kuimarisha na kuhitimisha makubaliano yao.

Na wewe kwa kuwa huna ITIKADI YA UKAWA, huwezi kuwa mzani mzuri wa kupima mafanikio ya UKAWA. Vinginevyo unataka kulazimisha uongozi kwenye kitengo usichokijua kwa kuwa tu unataka kuongoza lakin mwisho wake ni uharibifu.

Mbona hujasifia accomplishments walizokwishafanya kwenye mgawanyo wa majimbo? Unakimbilia kupiga ramli kwa majimbo 12 yaliyosalia bila kukumbuka mgawanyo wa majimbo ni mchakato pia?

UKAWA wako makini. Hawafanyi kazi kwa kubahatisha au bora liende. Waachie wenyewe, muda ukifika watatoa taarifa.

CCm imegawanyika vipande visivyohesabika. Hujawasikia UKAWA wakiingilia kutoa mwongozo nini ccm wafanye katika hali hiyo. Vivyo hivyo UKAWA hawahitaji mwongozo kutoka CCm namna wataendesha mmipango yao.

Mkuu usipate shida sana niambie majimbo tata 12 ya UKAWA mmeshapata wagombea?au bado zinapigwa!
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.
Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.
Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.
Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?
Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.
Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.
Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,.
KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!
‪Source: Chief Lutasa Yemba.

kaka yako wasira alisema hawavuk 2014 saiv imekuwa october.
 
Mkuu tabia ya kuingia jikoni kuanza kupekuwa masufuria ya matango na mboga zikiwa bado motoni, si nzuri. Waache wapishi wamalize kazi yao, wakiwa tayari,, utaalikwa mezani kula.

Kuwahi kupata ama kuchelewa kupata kuna athari gani ikiwa bado UKAWa wako ndani ya muda? Deadline ya tume ingekuwa imefungwa, ulikuwa na haki ya kuhoji.

Kama vile ccm wanavyohangaika kutafuta wadhamini na maigizo ya kuwapa watu fedha ili wajitokeze kwa wingi kwneye hizo show, waache UKAWA nao wafanye michakato yao.

Mchakato ukikamilika, utapewa jina. Usilazimishe wafuate utashi wako wakati wana taratibu na vipaumbele vyao. Walianzisha ukawa bila mchango wala ridhaa yako, hawahitaji mwongozo wako juu ya kuimarisha na kuhitimisha makubaliano yao.

Na wewe kwa kuwa huna ITIKADI YA UKAWA, huwezi kuwa mzani mzuri wa kupima mafanikio ya UKAWA. Vinginevyo unataka kulazimisha uongozi kwenye kitengo usichokijua kwa kuwa tu unataka kuongoza lakin mwisho wake ni uharibifu.

Mbona hujasifia accomplishments walizokwishafanya kwenye mgawanyo wa majimbo? Unakimbilia kupiga ramli kwa majimbo 12 yaliyosalia bila kukumbuka mgawanyo wa majimbo ni mchakato pia?

UKAWA wako makini. Hawafanyi kazi kwa kubahatisha au bora liende. Waachie wenyewe, muda ukifika watatoa taarifa.

CCm imegawanyika vipande visivyohesabika. Hujawasikia UKAWA wakiingilia kutoa mwongozo nini ccm wafanye katika hali hiyo. Vivyo hivyo UKAWA hawahitaji mwongozo kutoka CCm namna wataendesha mmipango yao.

Kamanda tuliza mzuka wewe uache jazba,tatizo huko UKAWA moto unawaka ni mkali kiasi kwamba wao wenyewe wanakimbilia nje na kuanza kutoa siri zao, kwenye kipindi cha Dk 45 ITV wiki kama 2 zilizopita MHE.Mbatia alikiri ndani ya Umoja huo kuna ubinafsi cause of different political background na hili unalipinga, nikuulize na wewe mgawanyo wa majimbo 12 mbona bado unawatoa jasho, check znz wenzenu CUF WAMEACHIA JIMBO moja tu sasa ndo nini?
 
Tatizo UKAWA hawana uhakika na wapi wanakwenda,kwa ujumla hawako tayari kuchukua uongozi wa nchi!

kama had leo hujaona uelekeo pole sna mkuu safar ishaanza kitambo sna ukawa wanajua nn wanafanya na ndio mana hoja zao kubwa zimekuwa ajenda kuu za watia nia wa ccm,,,,,, (movement for change).
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.
Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.
Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.
Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?
Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.
Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.
Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,.
KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!
‪Source: Chief Lutasa Yemba.
Kauli kama hizi tushazizowea....
hebu cheki hapa
1. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wassira-kwa-chadema-waanza-kuigeukia-ccm.html

2. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/544767-gazeti-la-uhuru-tamati-ya-chadema-imefikia.html

3. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ika-ndani-ya-mwaka-mmoja-ujao-wassira-39.html

etc
 
Kamanda tuliza mzuka wewe uache jazba,tatizo huko UKAWA moto unawaka ni mkali kiasi kwamba wao wenyewe wanakimbilia nje na kuanza kutoa siri zao, kwenye kipindi cha Dk 45 ITV wiki kama 2 zilizopita MHE.Mbatia alikiri ndani ya Umoja huo kuna ubinafsi cause of different political background na hili unalipinga, nikuulize na wewe mgawanyo wa majimbo 12 mbona bado unawatoa jasho, check znz wenzenu CUF WAMEACHIA JIMBO moja tu sasa ndo nini?

zanzibar chama chenye nguv ni cuf pia wanaangalia ni wap chama husika kina nguvu sio kuachiana kwa kwa kuwa kuna muungano lazima uangalie nguv ya chama sehemu husika huwez kuipeleka nccr zenj ukategemea kitachana au kumtoa kafulila jimboni kwake na kumtupia sugu ni ngumu
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema. Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama. Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana. Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa. Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...? Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana. Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele. Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,. KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA. DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon! ‪Source: Chief Lutasa Yemba.

Back
Top Bottom