Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
mmehamia kwenye kiswahili fasaha hhahahahahahhahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtu kwao bwana. Mwl. J.K Nyerere alisema, "Chakula kikiandaliwa hovyo, kitapikwa hovyo hovyo hata wanaokula watakula hovyo hovyo" Mimi sikubali kukila hovyo hovyo. Kwanini tusikihusudu chetu? ha ha ha ha ha ha ha ha ha !!!!!!!!!!. Kazana kijana utafaulu tu hilo lipo kwenye uwezo wako.