UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

Ndiyo kaka nimegundua tunapotea kuke hivyo acha ukweli ubaki kuwa ukweli, Ccm hawana mpinzani, Ukawa bhana kila kukicha ni majungu na fitina na kugombea madaraka na majimbo.

Mmawia Orijino, ulikuwa hujajua hilo? Hiyo ndiyo kazi wanayoiweza. Hiyo ni majungu mfululizo na madaraka oriented people.
 
UKAWA ni muungano wa watu wenye uchu wa madaraka, Agosti 2015 itakuwa historia; Profesa Lipumba na Dr. Slaa hakutafikiwa muafaka katika kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2015
 
UKAWA ni muungano wa watu wenye uchu wa madaraka, Agosti 2015 itakuwa historia; Profesa Lipumba na Dr. Slaa hakutafikiwa muafaka katika kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2015

Wewe unakosea! UKAWA siyo muungano! UKAWA neno sahihi kwao ni genge la watu wenye uchu wa madaraka maana wanatafuta kwa ajili ya matumbo tu. Kelele zote hizo ni kuwahadaa Watanzania tu.
 
UKAWA ni muungano wa watu wenye uchu wa madaraka, Agosti 2015 itakuwa historia; Profesa Lipumba na Dr. Slaa hakutafikiwa muafaka katika kupeperusha bendera ya UKAWA kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2015
Hao maboss wako ni wezi na wana njaa na wako kimaslai ya matumbo yao hawataambulia kitu mwaka huu. Watabaki kuwa wasindikizaji tu
 
Hao maboss wako ni wezi na wana njaa na wako kimaslai ya matumbo yao hawataambulia kitu mwaka huu. Watabaki kuwa wasindikizaji tu

Mmawia Orijino, hapo umenena yaani MAFILILI yupo mbiyombiyo na UKAWA yake akidhani ni chama kumbe hilo ni genge tu la watu wachache wanotafuta madaraka kwa mbwembwe ili watumie kwa ajili ya matumbo yao na msururu mreeefu nyuma yao.
 
Ndugu kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, mwanzo wa UKAWA ulikuwa BMK tena wa jazba. Mwisho wao utakuwa kabla ya u haguzi mkuu kwa jazba kuu. Utaniambia:gossip::behindsofa:

mtasubili sana kama fisi kuusubulia mkono wa mwanadamu uanguke ili aokote ale kumbe wapi mkono unacheza kupata balance ya mwendo wakat safari inaendelea mbele
 
mtasubili sana kama fisi kuusubulia mkono wa mwanadamu uanguke ili aokote ale kumbe wapi mkono unacheza kupata balance ya mwendo wakat safari inaendelea mbele

Hao walikua ni fisi wa zamani tena huko kwenu, fisi wa sasa hivi wanakung'oa mzima mzima na mkono wako wee wawapi?
Ubinafsi uawatafuna vilivyo na this time mnajifia wenyewe CCM itawatawala milele!
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.
Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.
Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.
Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?
Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.
Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.
Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,.
KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!
‪Source: Chief Lutasa Yemba.
mkuu naona uko kazini propaganda team ,kwa turufu unayotumia kugawa ukawa basi hata kwa ccm inaweza kusambaratika kutokana na hizi mbio za urais mmefikisha 50,vile kazi ipo.
 
Hao walikua ni fisi wa zamani tena huko kwenu, fisi wa sasa hivi wanakung'oa mzima mzima na mkono wako wee wawapi?
Ubinafsi uawatafuna vilivyo na this time mnajifia wenyewe CCM itawatawala milele!

fisi wa kichawi hao wpo kama yule aliyepelekewa kinana mkutanoni yule anakukula na washakula sana na wanaendelea kama richmond eppa na takataka zingine ktk halmashauri mbalimali nabtenda feki chezea gwanda la kijani na singasinga
 
Mkuu naona unapoteza muda wako hapa,nenda kawaambie CDM kwanza wajenge ofisi waache kupanga ukimaliza uje tujadili!
 
fisi wa kichawi hao wpo kama yule aliyepelekewa kinana mkutanoni yule anakukula na washakula sana na wanaendelea kama richmond eppa na takataka zingine ktk halmashauri mbalimali nabtenda feki chezea gwanda la kijani na singasinga

Karibu mkuu, naona unaendelea kuimba ngonjera zilizowashinda wenzio! Nitajie wavaa magwanda ya kaki mtu mmoja msafi!
 
Ka! MOTOCHINI naona umeamua kujitwalia mamlaka ya kuwa kilongola. Mwache Mmawia akibadili mwelekeo yakuhusu nini? Wawashwani na mwenzio kufanya kazi? Wewe nawe!
Unajua huyu Mmawia amepima muda fulani kajitambua hahaa maana king'ang'anizi sana kaona kumbe napotea aje na new ID vizuri sana sa wote tuwe CHAMACHETU SIA, NCHI YETU SIE, UZALENDO WETU SIE tuungane pamoja na team WAZALENDO
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkuu, naona unaendelea kuimba ngonjera zilizowashinda wenzio! Nitajie wavaa magwanda ya kaki mtu mmoja msafi!

mnyika na mchungaji

hapo gwanda la kijani toka ikulu hadi mwenyekiti wa kijiji wote wezi wa kutupwa.
 
Karibu mkuu, naona unaendelea kuimba ngonjera zilizowashinda wenzio! Nitajie wavaa magwanda ya kaki mtu mmoja msafi!

yani pesa za umma zinaliwa halafu unaziita ngonjera kweli ccm imepenyeza sumu ktk ubongo wa baadhi ya vijana hadi kupoteza kutojitambua na thamani ya taifa lao kifo kibaya hiki ewe mungu mnusuru huyu kijana aamke awe mzalendo kwa taifa lake anaebariki wizi unaopelekea baadhi ya raia wenzie kupoteza maisha barabara mbaya,elimu hovyo hospital hakuna madawa daaaaaaa
 
Back
Top Bottom