UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

Mkuu hayo yote ni harufu ya chakula kinapikwa jikoni.

Kimeiva 95%, hiyo 5% ndiyo maji yanakaukia ili kiwe tayari kuliwa. Lazima harufu itasikika hadi kwa majirani lakini siyo warrant kwa majirani kuingia hadi jikoni kuanza kupekua kimepikwaje ajli tu wamesikia harufu.

Hiyo 5% ndiyo lala salama. Walikotoka ni kugumu na kuzito sana. Hapa ni hitimisho waacheni wafanye finishing!.

Mkuu, kumbuka kwamba uwezo wa mtu haupimwi ni namna gani anaweza kufanya na watu wanaomkubali au wenye mawazo kama yake tu. Inaleta ukomavu zaidi namna gani anavyoweza kuunganisha watu wa aina mbali mbali hata wasiokuwa kama yeye katika kufikia malengo ya pamoja yaliyokusudiwa.

IKiwa CUF wamepewa majimbo yote Zanzibar, kuna sababu ambayo imeonekana ni ya msingi na ikakubalika. Kumbuka UKAWA hawanyakui majimbo kwa kunyang'anyanng'anyana au kujichukulia kila mtu anavyotaka. CUF majimbo yote waliyonayo Zanzibar, hawajajipa lakini hata kama walitoa hoja, bado hoja zile zilikubalika ndani ya UKAWA na UKAWA wakaridhia.

Hilo si tatizo kwa sababu serikali itakayoundwa haitakuwa ya CUF itakuwa ya UKaWa na kila mhusika atarespect hicho haijalishi anatoka chama gani.

Kwa kuwa 95% ya mgawanyo umekamilika, hiyo 5% pia itakamilika kwa namna yoyote. Kama kuna changamoto ndani ya UKAWA, ni vichocheo vya kuwakomaza namna ya kutatua changamoto kitu ambacho kitakuwa ni maisha yao ya kila siku wtakapokuwa wakiongoza serikali.

Kuwepo kwa changamoto usikuchukulie kwamba ni failure lakini angalia namna gani wanazimaliza ndipo uone vile zimekuwa growth opportunities kwa UKAWA.

Kamanda tuliza mzuka wewe uache jazba,tatizo huko UKAWA moto unawaka ni mkali kiasi kwamba wao wenyewe wanakimbilia nje na kuanza kutoa siri zao, kwenye kipindi cha Dk 45 ITV wiki kama 2 zilizopita MHE.Mbatia alikiri ndani ya Umoja huo kuna ubinafsi cause of different political background na hili unalipinga, nikuulize na wewe mgawanyo wa majimbo 12 mbona bado unawatoa jasho, check znz wenzenu CUF WAMEACHIA JIMBO moja tu sasa ndo nini?
 
Kazi ya shetani ni kuchinja, kuiba na kuvuruga. Mashetani wanameza mate sana ukawa ivunjike,kwa kujaribu ku create confusions ambazo kimsingi hazipo.

Hivi kati ya CUF na CHADEMA kipi ni kikubwa? Hakuna mtu reasonable atataka equality wakati base tayari iko tofauti sana. Kuwaingizia wivu na tamaa wajumbe wa ukawa ni kupoteza muda kwa sababu hesabu za kawaida tu zinatosha kuanisha kila chama kinapata considerations kwenye UKAWA kutokana na uwezo wa nguvu zake. Hakuna mshumaa kwa mwingine kwa sababu hata wakisema leo wafanye solo, hakuna CHAMA kitafikia kiwango kilichokusudiwa ndani ya UKAWA.

Uswahili usiwe ujinga. Maana ujinga ni hasara ya hatari.
UKAWA wanawazuga wanavyama wao kwani wanajua hakika kuwa kila chama kinataka ongezeko la wabunge ambalo ni ongezeko la ruzuku. Hivi hawa waheshimiwa wanavyohusudisha mungu shekeli au fedha watakubali kuachia am
jimbo eti kwamsababu chama fulani kinaungwa mkono jimbo husika. La hasha kweli hawa watu hawawezi kufika Oktoba na msimamo wao. Wanasambaratika hakika. Umoja wao uliishia kusususia baadhi ya vikao vya BMK. Buriani UKAWA!!!:becky::A S-rap:
 
zanzibar chama chenye nguv ni cuf pia wanaangalia ni wap chama husika kina nguvu sio kuachiana kwa kwa kuwa kuna muungano lazima uangalie nguv ya chama sehemu husika huwez kuipeleka nccr zenj ukategemea kitachana au kumtoa kafulila jimboni kwake na kumtupia sugu ni ngumu
Ndugu kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, mwanzo wa UKAWA ulikuwa BMK tena wa jazba. Mwisho wao utakuwa kabla ya u haguzi mkuu kwa jazba kuu. Utaniambia:gossip::behindsofa:
 
Wishful thoughts!.

UKAWA wanawazuga wanavyama wao kwani wanajua hakika kuwa kila chama kinataka ongezeko la wabunge ambalo ni ongezeko la ruzuku. Hivi hawa waheshimiwa wanavyohusudisha mungu shekeli au fedha watakubali kuachia am
jimbo eti kwamsababu chama fulani kinaungwa mkono jimbo husika. La hasha kweli hawa watu hawawezi kufika Oktoba na msimamo wao. Wanasambaratika hakika. Umoja wao uliishia kusususia baadhi ya vikao vya BMK. Buriani UKAWA!!!:becky::A S-rap:
 
MMMMMMM! mihemko hiyo kiboko. Sasa wanaelekea kubaya. Kweli kuna umoja hapo?
Umoja hakuna itakuwa historia kuwa kulikuwepo na dude lilijulikana kama ukawa kwa maana huwezi kukiita chama, wala ngo, wala shirikisho, ni jitu wala halijasajiliwa popote. Ukawa, ukatoweka,
au ukaisha n kupotea
 
Aksante sana Jay Millionea, Umetumwa na hao waliokutuma hawana habari kuwa kwao tayari moto ushamaliza kazi unatafuta kichaka kingine kabla haujazimika.
Twajua kuwa hao waliokutuma ni wale wale ambao wamezoea kununuliwa ka weye. Usiogope kuwaambia kuwa, UKAWA hawavunjwi nia yao kwa maneno ya kufikirika wala kutongozwa. Weye ni kuwadi wa kisiasa tu na umetumwa kutia mawazo maovu ndani ya UKAWA. Elewa, weye si wa kwanza kuutabiria UKAWA kusambaratika. Wapo waliosema ni kabla ya BMK kuvunjwa, wako wapi? BMK limevunjika likaacha UKAWA. Hao mafisadi na makuwadi wao wa kisiasa watavunjika vipande wauache UKAWA. Hili ndilo tegemeo pekee la kuing'oa ccm na kuisagilia mbali na kuiacha vumbi HAKIKA Ukawa ni nyota ya Mungu wetu

Sema mungu wako Sio wetu
 
Mkuu hayo yote ni harufu ya chakula kinapikwa jikoni.

Kimeiva 95%, hiyo 5% ndiyo maji yanakaukia ili kiwe tayari kuliwa. Lazima harufu itasikika hadi kwa majirani lakini siyo warrant kwa majirani kuingia hadi jikoni kuanza kupekua kimepikwaje ajli tu wamesikia harufu.

Hiyo 5% ndiyo lala salama. Walikotoka ni kugumu na kuzito sana. Hapa ni hitimisho waacheni wafanye finishing!.

Mkuu, kumbuka kwamba uwezo wa mtu haupimwi ni namna gani anaweza kufanya na watu wanaomkubali au wenye mawazo kama yake tu. Inaleta ukomavu zaidi namna gani anavyoweza kuunganisha watu wa aina mbali mbali hata wasiokuwa kama yeye katika kufikia malengo ya pamoja yaliyokusudiwa.

IKiwa CUF wamepewa majimbo yote Zanzibar, kuna sababu ambayo imeonekana ni ya msingi na ikakubalika. Kumbuka UKAWA hawanyakui majimbo kwa kunyang'anyanng'anyana au kujichukulia kila mtu anavyotaka. CUF majimbo yote waliyonayo Zanzibar, hawajajipa lakini hata kama walitoa hoja, bado hoja zile zilikubalika ndani ya UKAWA na UKAWA wakaridhia.

Hilo si tatizo kwa sababu serikali itakayoundwa haitakuwa ya CUF itakuwa ya UKaWa na kila mhusika atarespect hicho haijalishi anatoka chama gani.

Kwa kuwa 95% ya mgawanyo umekamilika, hiyo 5% pia itakamilika kwa namna yoyote. Kama kuna changamoto ndani ya UKAWA, ni vichocheo vya kuwakomaza namna ya kutatua changamoto kitu ambacho kitakuwa ni maisha yao ya kila siku wtakapokuwa wakiongoza serikali.

Kuwepo kwa changamoto usikuchukulie kwamba ni failure lakini angalia namna gani wanazimaliza ndipo uone vile zimekuwa growth opportunities kwa UKAWA.

Huo ni utafiti wa chini ya mwembe na hizo asilimia ulizoweka sijui umetoa wapi men????UKAWA ni maslahi nani asiyelijua hilo!wako kimkakati kupata mafao na ndo maana CCM muda wako inawamudu ,hizo mbio za kuelekea Ikulu Oktoba wasahau bora wafanye kazi nyingine tu ya kuimarisha chama!CUF zanzibar wameachia jimbo moja tu kwa Salum hilo ni pigo kwa UKAWA yenye chama zaidi ya komoja kuwa dominated ZNZ na huu upande mmoj wa muungano ni muhimu kwa maendeleo ya siasa kwa UKAWA, WENZAO CCM hawana shida kote wana coverage.

Kwa upande wa Serikali itakayoundwa hilo sitaki hata kulisemea maana muda wake utafika Oktoba, ninachojua UKAWA sio chama cha siasa hivyo hakitapewa ridhaa ya kuongoza nchi!Waendelee kujipanga tu mpaka watakaposajiliwa!!!!!!!
 
Umoja hakuna itakuwa historia kuwa kulikuwepo na dude lilijulikana kama ukawa kwa maana huwezi kukiita chama, wala ngo, wala shirikisho, ni jitu wala halijasajiliwa popote. Ukawa, ukatoweka,
au ukaisha n kupotea

Genge hilo la ukawa ni la aina yake, kuna watu wanawadanganya sana wenzao juu ya matamanio yao wakihitaji kuungwa mkono ili wafikie wanachotamani. Kumbe wenzao nao wameshajua janja ya nyani kula mahindi mabichi. Mihemko iko njiani maana wameshaanza kukwaruzana kutafuta nani zaidi.
 
Kwa hiyo shida ya UKAWA ni ruzuku na si kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi? Hapo umebugi kabisa kajipange upya!

UKAWA utakamilisha vyema mchakato wao pamoja na changamoto zilizopo. Wewe kajiandikishe piga kura yako linda kura yako na subiri matokeo.

UKAWA wanawazuga wanavyama wao kwani wanajua hakika kuwa kila chama kinataka ongezeko la wabunge ambalo ni ongezeko la ruzuku. Hivi hawa waheshimiwa wanavyohusudisha mungu shekeli au fedha watakubali kuachia am
jimbo eti kwamsababu chama fulani kinaungwa mkono jimbo husika. La hasha kweli hawa watu hawawezi kufika Oktoba na msimamo wao. Wanasambaratika hakika. Umoja wao uliishia kusususia baadhi ya vikao vya BMK. Buriani UKAWA!!!:becky::A S-rap:
 
UKAWA KUVUNJIKA IKIWA CHADEMA WATALAZIMISHA KILA KITU WAPATE WAO.Mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf Taifa Mhe Cheif Lutasa Yemba aliwahi kusema kuwa Kamwe yeye kama mjumbe wa Baraza Kuu la UONGOZI Cuf hawezi kukubali Chama Chake kuwa MSHUMAA wa Chadema.
Haiwezekani Chama kimoja kupata 50% ya majimbo kisha kipewe na haki ya kusimamisha mgombea wa URAIS huu ni mgawanyo wa kipumbavu na haukubaliki. haukubaliki haukubaliki kabisa, nitaupinga kwa nguvu zangu zote katika vikao vya chama.
Maamuzi mengine ndani ya UKAWA ni ya kijinga sana huwezi kukataa Chama kama ACT au ADC kujiunga na umoja huu wakati zana nzima ya umoja imeundwa kwa hoja kuwa KURA za wapinzani ukiziunganisha kwa pamoja tungeshinda majimbo mengi sana toka mwaka 2000 na 2010 ndio umuhimu wa kuungana ukapatikana.
Sasa ACT kinauwezo wa kuzuia vyama vyetu vyote sehemu nyingi sana kwa mtindo huo huo wa kugawana KURA na CCM wakaibuka washindi katika chaguzi 2015 huu ni upumbavu na haukubaliki kabisa.
Siasa haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ndio maana leo sisi Cuf tunakaa na Chadema na hata KAFULILA (mb) anafanya kazi pamoja na Chadema inashindikana vipi kufanya kazi pamoja na Zitto kwa nia ya kushiriki kuitoa CCM...?
Msimamo wangu kama Cheif Yemba vyama vyote vitakavyo hitaji kujiunga na umoja huu vipewe nafasi ili kuiondoa CCM madarakani 2015 na tuchague mgombea wa URAIS mwenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani na uwezo wa kuwasaidia watanzania kwa weledi sio mtu wa hivyo hovyo tu hapana.
Hatuwezi kuwa mbadala waCCM kama ROHO zetu zimejengeka kwa CHUKI CHUKI tu bila kusamehe kuongoza nchi ni jambo linalo hitaji hekima na busara kubwa huwezi kuwa kiongozi wa watu na kuleta maendeleo na haki ukiwa ni mtu wa VISASI na CHUKI ya milele.
Kwanini wenzetu hawataki kuchagua kusimamisha majimbo mengi bila mgombea wa URAIS au kuwa na mgombea wa URAIS na majimbo machache ili kulinda RUZUKU kwa kila chama baada ya uchaguzi,.
KAMA HAYA HAYAWEZEKANI HAKUNA UKAWA NI BORA TUTAFUTE WASHIRIKA WAPYA SIO HAWA WAJANJA WAJANJA.

DONGO HILI LIMEPIGWA KWA CHADEMA NA UVHU WAO WA KUTAKA KILA KITU WAPEWE WAO! Umoja wao kusambaratika soon!
‪Source: Chief Lutasa Yemba.

kazaneni huenda mkafanikiwa
 
Back
Top Bottom