Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Umoja hakuna itakuwa historia kuwa kulikuwepo na dude lilijulikana kama ukawa kwa maana huwezi kukiita chama, wala ngo, wala shirikisho, ni jitu wala halijasajiliwa popote. Ukawa, ukatoweka,
au ukaisha n kupotea
Genge hilo la ukawa ni la aina yake, kuna watu wanawadanganya sana wenzao juu ya matamanio yao wakihitaji kuungwa mkono ili wafikie wanachotamani. Kumbe wenzao nao wameshajua janja ya nyani kula mahindi mabichi. Mihemko iko njiani maana wameshaanza kukwaruzana kutafuta nani zaidi.