Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Poleni sana " Ama hakika ajali za mara kwa mara ni moja ya jinamizi kubwa " mnoo linaloipa changamoto serikali ya awamu hii
 
Mwenyezi muweza wa yote twaamini waweza kusaidia waja wako na twaomba ufanye hivyo katika hili janga.
 
Sio kivuko hicho unachokizungumzia ni vile vijimeli kama unavyoviona feli kule zile za wavuvi au kama kama zile zinazovisha watu kwenda mafia kupitia rufiji.
Usibishe kitu usichokijua eti vijimeli vya kivukoni, kile ni kivuko Mv Nyerere kimebadilishwa injini juzi.

1.JPG
 
idadi ya abiria ni wangapi? mliopo huko mtujuze wa mbali.
 
Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKALA wilayani Ukerewe.

====

Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.
Wazir husika atoe rambirambi faster kisije kikaota nyasi kibarua
 
Rais si alikuwa huko juzi na tBC1 Live na akawalipa wafanyakazi wote madeni yao na akawakataza wasi over load?
Vipi tena.

Jiwe huwaga ana gundu ni kama uko hospitali alafu Mortician(jiwe) akaingia wodini lazima gundu litokee tu... alienda msalimia dada yake mwishowe dada akavuta...

Anyway sisi kipaumbele chetu ni CHADEMA ila Kenge yupo wapi au nguvu ya soda ishaisha moto kama wa kiberiti maana alimwambia naniliu kwamba hatatuma salamu za rambirambi

Poleni wenzetu
 
Vipi kikosi cha Kuzima Moto na Uokoaji kimeshafika eneo la tukio na kutoa msaada wowote wa uokoaji..?

Poleni sana wana Ukerewe kwa janga hili baya sana kuwakuta.
 
Jiwe huwaga ana gundu ni kama uko hospitali alafu Mortician(jiwe) akaingia wodini lazima gundu litokee tu... alienda msalimia dada yake mwishowe dada akavuta...

Anyway sisi kipaumbele chetu ni CHADEMA ila Kenge yupo wapi au nguvu ya soda ishaisha moto kama wa kiberiti maana alimwambia naniliu kwamba hatatuma salamu za rambirambi

Poleni wenzetu


Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie
 
Vivuko ni ngumu kujua wangapi wamepanda
Hivyo kuna wengine wanaweza wasiwekwe kwenye orodha
 
Back
Top Bottom