Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

IMG_8626.JPG


Hicho ni kivuko cha Mv Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorola (Ukerewe) na Bwisya (Ukara). Kilikuwa kimeharibika kwa muda mrefu tangu kununuliwa mwaka 2004 na kilikakarabatiwa mwaka huu kwa kwa kufungwa injini mpya.
Dah!! Poleni Wakerewe na Wakara wenzetu.

KIVUKO CHA MV. NYERERE CHAFUNGWA INJINI MPYA - Issa Michuzi
 
Back
Top Bottom