Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Daaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!

Pale wanapauta ITIGI cha kushangazaaa huu ni uhakika,, mpaka wanachuo wa SUA , MUMO na baadhi ya vyuohuenda maeneo yale kujiuza_; ukienda KAHUMBA, NYUMBANI PARK, SAMAKI SAMAKI,, ki ukweli utakoma,, na ikifika saamida ya saa tano mpaka saa sita watu mpaka huonjeshwa kwa wale wateja wa kudumu na mkopo wakati mwingine hutoa,, kwa wale wanachuo ambao hua eidha chuoni kwao ni mbali au huogopa huamua kumng'ania mwanaume hata apate pa kulala kwa siku hiyo na chakula.
Kesho yake anatinga chuo ukikutana nae unamwita bonge la demu

Mjomba mkopo wao wale ukiwa mteja kweli wa kudumu na wana discount nzuri sana ila unatakiwa usiwe na tamaa ukikopa haulipi kesho unachukua mwengine mutakorofishana
 
Unauliza uzooefu kwangu😀😀😀😀...haya tuone

KUMGEGEDA DOMESTIC PR:
Utamtoa jioni...menu ya watu wawili plus vinywaji=20,000, usafiri 10000, chumba 15000...vocha, maji ya kunywa na ndomu na dharura nyingine 10000 jumla 55000.

Hapo hujaweka kodi ya nyumba, saluni, shopping, mara ana rafiki yake anafunga harusi so mchango...mara anaumwa,.....siku ukiwa na genye bado anaweza kukuambia yupo MP...sasa shida zote ni za nini mkuu....wakati huku nje ni 10000/5000 unasuuza rungu fasta.
mkuu, hiki ndicho ninachofahamu hata mimi na huu ndio uzoefu nilio nao juu ya hawa vyangu wa barabarani. kama utakuwa umenisoma vizuri, hata mimi natetea uwepo wao kwa kuwa bei zao ni nafuu, kama ulivyokokotoa.
 
madhara ni mengi kwa hii biashara kuliko faida, serekali haina haja ya kupitisha, ukiwaangalia wanaofanya biashara basi mwisho wao hawapati chochote, iyo 5000 unayopewa mara unakutana na mlevi anakuharibu na matibabu yake zaidi ya lakini tano, maambukizi yataengezeka na kulifanya taifa liendelee kutumia pesa nyingi kwa waathirika, biashara hii lazima ikomeshwe

Mjomba duhh elfu tano mbona kubwa kuna wale wanaitwa tap 4 hao ukiwabembeleza wanakupunguzia mpaka elfu 2000 pia unawezakushuka tena chini ya hapo na ukimwambia umepungikiwa 200 anakuambia huduma haitaki kupungukiwa kesho ukija uje na cash
 
Wenzetu Rwanda "wameadvance" ukifika kigali kuna maeneo wadada wanauza yanatambulika hadi na serikali, mfano kuna sehemu kigali wanaita gomora kahaba anakitambulisho kabisa!!!

Tatizo wale mkuu hata ukipungukiwa mia 200 wanakataa ! Pia hata uende mara ngapi hawakukopeshi wakati wa kwetu hapa wenyewe wanakuambia neno lao ugeni siku tatu yaani hapo ni ile siku ya pili sasa na ukifika ya nne unapewa mpaka discount,ila mkuu ni hatari sana maisha yale
 
hata keep change huwa nawaachia ! wako bomba sana. tena hawana complain za hovyo hovyo. ni sehemu bora ya kupotezea stress za home. tuwaheshimu hawa!!!!
Safi sana mkubwa
 
Aisee huku kwetu mtwara na lindi mambo hayo 'official' bado kabisa
 
Hivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba

BOSI MPAKA
TANANGOZI
NYOROROLO
MK
IFUNDA
BASI MM NAKWENDA KUWAKATIA RB WAKAMATWE SASA
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,

Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.

Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Umechukua hatua gan
 
Back
Top Bottom