Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

HASWAA UMENENA....WANAUME WENYEWE MACHO KODO KODO KUTAKA VYA BEI RAHISI UNAFIKIRI BIASHARA ITAKUFA. HEBU WAWACHUNIE SIKU MBILI TATU UONE KAMA ITIGI ITAKUWEPO......MUNGU ATUSAIDIE TUPAMBANE NA HILI
Ni mojawapo ya njia za kuwaingizia kipato
 
Hapo sawa mkuu.Alafu anajidekeza balaa ili umbembeleze, atakutegemea hadi uhuisi kuwa hana wasaidizi wengine.....akikukosa kwa simu tu atalalamika sana...ila wewe ukimkosa atakufix na kukupooza kwa maneno mazuri kumbe ana madanga kama tano hivi.....wewe anakuona zuzu la kuuzia kitaani na maclab ambako wewe ndiye unayegharamia hahahahaaaa.
Mimi huwa nawaambia kabisa kuwa hizo habari za kuitana baby no
 
Chuoni saivi unapewa 500000 kwa miezi miwili, kama si ulafi na kutokujua kupanga matumizi ni kitu gani? Hivi kweli shilingi laki 5 haikutoshe mpaka ufike hatua ujiuze
Daaa nashindwa kukujibu ila kwa kina dada ujue ni tofauti na matumizi ya wanaume,wanahitaji vipodozi,kuvaa vizuri na wakati wote wawe exceptional
 
Ha ha ha naona unazungumzia Itigi hapo Msamvu! Halafu wauzaji ni kuku wa kienyeji kabisa!

Mchana salama kabisa oiiiii iingie satatu nne mpaka Saba! hata wa buku unapata!

Ha ha ha! Mkuu wamefika had bei hiyo?! Hakika shilingi imepanda thamani☹️
 
Ni huduma kama zilivyo huduma nyingine
Pole sana kuliko kuwa na mahusiano kizunguzungu ya kumgeuza mtu babaako mzazi, kisa kaomba papuchi si bora hiyo pesa akatoe huko na ajue tu kuwa ni gongs pita wenzio waja.
 
Pole sana kuliko kuwa na mahusiano kizunguzungu ya kumgeuza mtu babaako mzazi, kisa kaomba papuchi si bora hiyo pesa akatoe huko na ajue tu kuwa ni gongs pita wenzio waja.
Ni bora zaidi na unakuwa huru sana
 
Wazo la kuwasajiri ili tupate kodi ni zuri maana ni vizuri biashara ikafanyike nuruni pia elimu ya afya ya uzazi itatolewa.
 
Mimi nadhani mwanaume yoyote mwenye busara na anayejiheshimu akisafiri na kupata genye akiwa huko safari atakula hiyo mizigo yaani ni salama kishenzi.
Na heshima ofisini kwako inabaki palepale..
No phone call no offer ya lunch
Utasikia tu bosi anajidai yulee.
Ujue hapo umewapotezea.
 
issue ya ukahaba ni janga la dunia na si nchi yetu tu.Binadamu wa leo ni ngumu sana kuwaweka ktk mstari mmoja tumuombe mungu
Jamaa wamefanikiwa kuichezea DNA! This is serious, it's not a joke. Kwa wale wazee wa science pevu, narudia tena science pevu, hii ni kazi ndogo sana. Only a certain chemical in the atmosphere at a certain concentration attains the desired effect. Hii imefanyika dunia nzima, sio Tanzania tu.
 
Mwanga center/ kwa mchaga.Zipo za kitusi,kirwanda hataaaaari
 
Back
Top Bottom