madhara ni mengi kwa hii biashara kuliko faida, serekali haina haja ya kupitisha, ukiwaangalia wanaofanya biashara basi mwisho wao hawapati chochote, iyo 5000 unayopewa mara unakutana na mlevi anakuharibu na matibabu yake zaidi ya lakini tano, maambukizi yataengezeka na kulifanya taifa liendelee kutumia pesa nyingi kwa waathirika, biashara hii lazima ikomeshweSerikali inge ipitisha hii biashara tu maana kuendelea kujifanya inapiga vita wakati ndio kwanza inazidi kushamili siyo busara
Ni kweli usemayo lkn sasa haya yanayofanyika unadhani hayo madhara uliyoyasema hayatokei?madhara ni mengi kwa hii biashara kuliko faida, serekali haina haja ya kupitisha, ukiwaangalia wanaofanya biashara basi mwisho wao hawapati chochote, iyo 5000 unayopewa mara unakutana na mlevi anakuharibu na matibabu yake zaidi ya lakini tano, maambukizi yataengezeka na kulifanya taifa liendelee kutumia pesa nyingi kwa waathirika, biashara hii lazima ikomeshwe
Unaposema serekali iruhusu, maana yake unasema madhara yazidi kukuaNi kweli usemayo lkn sasa haya yanayofanyika unadhani hayo madhara uliyoyasema hayatokei?
Hivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba
Daaaaa sipati picha jinsi ulivyotimua mbio,hiyo ndiyo moroDuuuuuuuuu!!!!!!!!!!! Ctasahau morogoro msavu,nilifika ucku mida ya Saa tano , cjui hili wala lile nikaenda kutafuta sehemu ya kulala kufika pale nikakuta wasichana kibao ,nikaulizia chumba kabla hata cjajibiwa nashangaa navutwa huku na huku mimi ndo naenda naye,ikabidi niwe mkali,na mda huo wife nimemuacha kwny gari.wakuu nilitoka mita mia moja ili kunusuru maisha yng.
Ndo raha ya dunia hiyo.Pale kwenye malori msamvu kwa kweli ni shida sana kuanzia saa 12 jioni. Yani duh!!!!
We mmakonde acha ushamba, je hao ambao mtoto wa miaka 14 ruhusa kuolewa, nani m'baya?Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.
Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Acha uongo mwisho wa kutembea mabasi ni saa sita usiku!Naona umekurupuka toka usingizini,hata hivyo ku kremu siyo mbaya