Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Wenzetu Rwanda "wameadvance" ukifika kigali kuna maeneo wadada wanauza yanatambulika hadi na serikali, mfano kuna sehemu kigali wanaita gomora kahaba anakitambulisho kabisa!!!
 
Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
 
Pale Msamvu kuna night club inaitwa "Manyoni"...ni aibu sana.Chumba kimoja wanaingia hadi ten couples,kitanda kimoja...so dangerous
Sasa huo ni umafia kwani naamini kwa mwanaume mwenye busara hata ile hamu inapotea ukisha ona chumba kilivyo
 
Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
Mkuu hao kina dada zetu wanafanya hii kitu kama njia mbadala ya kujiajiri
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Ulichokifanya mkuu sio njia sahihi kama ulizani unakusudia kuzuwia tokea sasa tambua kwama ndio kwanza unawapigia debe huku ukiwatangazia biashara yao hiyo haramu na wewe una fungu lako kwa kila atakae soma uzi wako huu na ikawa ameenda kujiuza kwa kujua kuwa kuna sehemu kuna wateja wanaonunua bidhaa hiyo kwa pesa uliyoitaja au mtu akavutiwa na hiyo bei au huduma kwa ujumla akaenda kununua bidha hiyo uliyoitangaza ktk uzi huu tena bila hata kulia hiyo biashara uliyoitangaza
 
Ulichokifanya mkuu sio njia sahihi kama ulizani unakusudia kuzuwia tokea sasa tambua kwama ndio kwanza unawapigia debe huku ukiwatangazia biashara yao hiyo haramu na wewe una fungu lako kwa kila atakae soma uzi wako huu na ikawa ameenda kujiuza kwa kujua kuwa kuna sehemu kuna wateja wanaonunua bidhaa hiyo kwa pesa uliyoitaja au mtu akavutiwa na hiyo bei au huduma kwa ujumla akaenda kununua bidha hiyo uliyoitangaza ktk uzi huu tena bila hata kulia hiyo biashara uliyoitangaza
Mkuu nashukuru sana kwa kupata fursa nawe kushiriki huu mjadala
 
Wanaume nadhani wana sababu kadhaa zinazofanya waende kwa dada poa

1)Kupata mzuri /umtakaye kiurahisi - kitaani ni ngumu na ni mchakato kumpata mrembo.

2)Gharama - ukibahatika kumpata huyo mrembo umtakaye basi umebahatika pia kupata mzigo wa majukumu

3) Kupigwa vibuti - mwanamke anayesifiwa kwamba katulia mtaani ni yule ambaye anawatosa wengi.

4)Wanawake kutotulia - unakuta mtu ameshatendwa na wanawake zaidi ya watatu, hao hao watoto wa geti wenye maringo unakuja gundua baadae kumbe mko foleni wanaume 6 sasa huyu si changu wa nyumbani?

5) Pesa / u-handsome /umaarufu - Inaaminika hivyo ni vigezo vikubwa vinavyofanya mwanaume amvutie mwanamke. Kama huna kati ya hivyo au kingine ambacho sijakitaja utajikuta unachezea sana vibuti and hence dada poaz.

6) Uzembe na tamaa - kwamba watu wanaishi tu kizembe na hawajali sana kuhusu maisha. After all maisha yenyewe mafupi haya.

Etc etc etc....
Tamaa mbele mauti nyuma,after all miili yetu ndo sehemu pekee tunayoishi hvyo tunapaswa tusiitese kwa tamaa za muda mfupi za madawa,pombe na ngono
 
Wengine ni kunguru mkuu, hawafugiki hata wawe na uhakika wa Kula kuvaa na kulala vitu ambavyo kwa %90 anafanana navyo mke mwenye ndoa yake, bado atauza mwili tu. Nimeyaona kwa binti wangu wa kazi alikuwa anapata mahitaji yote pale nyumbani kasoro ngono tu, lakini alikua usiku anatoroka kwenda kujiuza, anatoka mbezi mwisho, anaenda masoko ya Malaya sinza, Buguruni,Manzese na Kigamboni. Mchana alikua anavaa nguo za heshima usiku wa saa nne mpaka tano, anaoga anavaa vinguo vinavoishia mapajani anatoka zake kwenda kuuza nikakusanya ushahidi kwa kuona na kuambiwa na watu nikamuondoa.
Tupia picha tafadhali
 
Back
Top Bottom