Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Tusiwalaume wakina dada kwani wanunuzi ni Wanaume, kama hakuna wanunuzi wasingejiuza
Kweli kabisa mkuu,sasa kwanini serikali isi halalishe na ikaenga sehemu maalum pa kufanyia hiyo shughuli ili kulinda maadili kwa vijana wetu wadogo ambao wanayashuhudia hapo itigi?
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Wewe hii bei ya sh. 2,000 umeijuaje?

(Natania mkuu - usijibu hili swali)
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!

Pale wanapauta ITIGI cha kushangazaaa huu ni uhakika,, mpaka wanachuo wa SUA , MUMO na baadhi ya vyuohuenda maeneo yale kujiuza_; ukienda KAHUMBA, NYUMBANI PARK, SAMAKI SAMAKI,, ki ukweli utakoma,, na ikifika saamida ya saa tano mpaka saa sita watu mpaka huonjeshwa kwa wale wateja wa kudumu na mkopo wakati mwingine hutoa,, kwa wale wanachuo ambao hua eidha chuoni kwao ni mbali au huogopa huamua kumng'ania mwanaume hata apate pa kulala kwa siku hiyo na chakula.
Kesho yake anatinga chuo ukikutana nae unamwita bonge la demu
 
Sasa acha mitaa hiyo ni watu classic sana njoo huku kichangani kwenye PONBE SHOP maarufu kana local beer utasema baasi dunia imeisha kabisaaaaaaaaaa

Utakuta mtu na kichombo chake cha pombe amekaa kwenye kitu kama ni usiku amebyoosha miguu na zipu imefunguriwa mwanamke bae kasaula nguo kaa juu uume huku wana download utam kote kote
 
Kaka wachaa, pale unafuatwa kabisa unaambiwa karibu hata short time tuu popote utakapo, au anafuatwa unaambiwa " naona kama unaniita" dunia imekwishaaaaa!!!
Sikupingi mkuu. Kuna siku nilitokea Mwanza nilikuwa naenda Moro nikashuka pale saa 3. Nilivyovuka barabara tu ilikuwa ni usumbufu sana.
 
Sasa acha mitaa hiyo ni watu classic sana njoo huku kichangani kwenye PONBE SHOP maarufu kana local beer utasema baasi dunia imeisha kabisaaaaaaaaaa

Utakuta mtu na kichombo chake cha pombe amekaa kwenye kitu kama ni usiku amebyoosha miguu na zipu imefunguriwa mwanamke bae kasaula nguo kaa juu uume huku wana download utam kote kote
Hiyo ni balaa kabisa naona watu neno ukimwi wakifika mitaa hiyo wanaliweka pembeni
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!

Pale wanapauta ITIGI cha kushangazaaa huu ni uhakika,, mpaka wanachuo wa SUA , MUMO na baadhi ya vyuohuenda maeneo yale kujiuza_; ukienda KAHUMBA, NYUMBANI PARK, SAMAKI SAMAKI,, ki ukweli utakoma,, na ikifika saamida ya saa tano mpaka saa sita watu mpaka huonjeshwa kwa wale wateja wa kudumu na mkopo wakati mwingine hutoa,, kwa wale wanachuo ambao hua eidha chuoni kwao ni mbali au huogopa huamua kumng'ania mwanaume hata apate pa kulala kwa siku hiyo na chakula.
Kesho yake anatinga chuo ukikutana nae unamwita bonge la demu
Hii habari ni mbaya sana kwa wazazi wenye watoto wa kike wanao soma vyuoni hapa morogoro
 
Back
Top Bottom