Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,

Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.

Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Hii biashara ilikuwepo enzi na dahari hakuna wa kuiweza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ikumbukwe hilo eneo ni karibu na ilipotokea ile ajali mbaya ya moto wa gari la mafuta...
Pia inasemekana yule baunsa aliechomoa betri ndie alikuwa mlinzi wa moja ya pagale unampa buku unaingia unachagua dem unat***mba..
 
Kuna kipindi nilikaa hapo Morogoro kuna hotel wamechukua Waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hapo nyuma Msamvu. Sasa siku za weekend hao waturuki huwa wanatoka out.. basi hao dada zetu wanakuja kujipanga kama mafungu ya nyanya. Mturuki akitoka anachagua kwa kugeuza geuza mithili ya nyanya au maembe.
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,

Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.

Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Naomba nitoe ushuhuda siku moja nimetoka zangu bukoba nikafika Msamvu kama saa 5 ivi usiku kwanza gari ile kuingia itigi tu pale taa zikamulika malaya anapigwa pumbu kwenye roli
Baada kama ya dk 5 nikamuona baba kaja kunipokea Dah nilijuta watu wanapigwa pumbu nje nje wengine wanachimbwa tope kabisa
Tunafika nyumbani kesho yake baba anasimulia anasema alipata usumbufu sana halafu wanasema siku iyo biashara imekuwa ngumu

Hiyo Tisa kuna sehemu wanapita Ambiance pale sinza Africa sana pale pameoza mazee na ndio ilikuwa njia yangu kubwa ile nilikuwa napita pale hadi saa 8 usiku Dah jaman acheni jua liwe kali tu kuna wale wadada wa UDSM TUMAINI SOCIAL WORK ARDHI wapo pale sasa wengine bado wana aibu kabisa

Mungu atusamehe
 
Mna hAkika wa chuo kweli!?
 
Kuna kipindi nilikaa hapo Morogoro kuna hotel wamechukua Waturuki wanaotengeneza reli ya SGR hapo nyuma Msamvu. Sasa siku za weekend hao waturuki huwa wanatoka out.. basi hao dada zetu wanakuja kujipanga kama mafungu ya nyanya. Mturuki akitoka anachagua kwa kugeuza geuza mithili ya nyanya au maembe.
Hiyo Hotel waliyopanga waturuki inaitwa GWAMI HOTEL
 
Tatizo wale mkuu hata ukipungukiwa mia 200 wanakataa ! Pia hata uende mara ngapi hawakukopeshi wakati wa kwetu hapa wenyewe wanakuambia neno lao ugeni siku tatu yaani hapo ni ile siku ya pili sasa na ukifika ya nne unapewa mpaka discount,ila mkuu ni hatari sana maisha yale
Hivi kuna raha gani kugonga K ya kununua ambayo kila mtu anachopeka uboho wake
 
Back
Top Bottom