mkuu, naomba GPS ya VYBE....iko wapi hii?Mkuu karibu tena !! Hapa ndio ITIGI mkuu. Kaumba yenyewe inasubiri kwa pale. Nyumbani Park na Vybe pale ni wa chinichini si rahisi kugundua kama siyo mzoefu wa papuchi purchasing.
du, wakuu naona nyie ni WADAU kabisa....mlijuaje mambo haya? tobaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Mkuu naona unapaelewa kweli kweli kule nyuma unapo sema ni hatari unapita unamkuta mtu kainamishwa
Hata hivyo ni ViwandaMkuu ugumu wa kupata ela ni kila sehemu
Serikali ya KUKURUPUKA,ajira hakuna,huduma za kijamii hakuna,huduma muhimu hakuna,njaa ndio usiseme,wacha watu wauze uchi wao baaasi au vipi?madhara ni mengi kwa hii biashara kuliko faida, serekali haina haja ya kupitisha, ukiwaangalia wanaofanya biashara basi mwisho wao hawapati chochote, iyo 5000 unayopewa mara unakutana na mlevi anakuharibu na matibabu yake zaidi ya lakini tano, maambukizi yataengezeka na kulifanya taifa liendelee kutumia pesa nyingi kwa waathirika, biashara hii lazima ikomeshwe
Binaadamu unaacha kukaa na kufikiria cha maana, unapoteza muda than unakuja na solution bora nijiuze, huu ni ukosefu wa uwezo wa kufikiria, wengi wanaojiuza wanapenda sana short cut ili kupata pesa, wanashindwa kujituma. Utashangaa unasikia wanafunzi wanajiuza kisa hawajaingiziwa pesa za kujikimu, unajiuliza hawa wana akili au matope, hivi unawezaje kuanza kufikiria hili suala, watanzania tubafilike, fursa zipo nyingi za kujitolea na kuanza kufanya kazi, tuache short cutSerikali ya KUKURUPUKA,ajira hakuna,huduma za kijamii hakuna,huduma muhimu hakuna,njaa ndio usiseme,wacha watu wauze uchi wao baaasi au vipi?
Tunda pori[emoji23] [emoji23]mkuu, wewe hukufanikiwa kumega tunda?
Taja hizo fursa hapa, na jinsi ya kuanza, mnapenda sana poyoyo bila practicalBinaadamu unaacha kukaa na kufikiria cha maana, unapoteza muda than unakuja na solution bora nijiuze, huu ni ukosefu wa uwezo wa kufikiria, wengi wanaojiuza wanapenda sana short cut ili kupata pesa, wanashindwa kujituma. Utashangaa unasikia wanafunzi wanajiuza kisa hawajaingiziwa pesa za kujikimu, unajiuliza hawa wana akili au matope, hivi unawezaje kuanza kufikiria hili suala, watanzania tubafilike, fursa zipo nyingi za kujitolea na kuanza kufanya kazi, tuache short cut
Haha haha haha "Mamaa aminaaa" [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji442]Mkuu karibu tena !! Hapa ndio ITIGI mkuu. Kaumba yenyewe inasubiri kwa pale. Nyumbani Park na Vybe pale ni wa chinichini si rahisi kugundua kama siyo mzoefu wa papuchi purchasing.
...................makeeeeeeHaha haha haha "Mamaa aminaaa" [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji442]
Mkuu ivi pale KAYUMBA vipi bado panawika na wateja jinsia zote wapo?
Mkuu ugumu wa kupata ela ni kila sehemu
Fursa zipo nyingi, unahitaji sh 7000 tu kununua nyanya ukauzaTaja hizo fursa hapa, na jinsi ya kuanza, mnapenda sana poyoyo bila practical
Kaumba ipo maeneo gani?hapo msamvu panaitwa itigi,ni shida kama sinza vile au kimboka halafu pia moro kuna sehemu inaitwa kaumba napo ni matatizo
Sio kaumba ni kahumbaNadhan unamaanisha kaumba mkuu