Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Most ni Watoto wa vyuo, life limebana sana.. Sasa kunapunguzo la bei na huduma zimeboreshwa zaid
 
Ni kweli kuna dampo moja hivi lipo nyuma ya mama ntilie msamvu ukipita mida samoja usiku ni balaa, ni wanapandwa kama mbuzi hivi wakiwa wameinama
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Waaache wale raha, ukimwi ndio malipo yao
 
Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania limeanza vikao vyake leo asubuhi huko mjengoni Dodoma. Nenda ukajionee madada poa na machangudoa waliohamia Dodoma kwa muda kutoka mikoa mbali mbali na sehemu mbali mbali kwa lengo la kutoa huduma ya mapenzi kwa waheshimiwa. Hili ni tatizo kubwa mno.
 
Sawa!!!!
 
Saa hizi Pombe kabana unaweza kuwakosa kama ilivokuwa zamani
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.

!
!
Acha unoko wako wewe. Mimi nitakuwa hapo kesho
 
Back
Top Bottom