Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ufaransa wao wamepiga mkwara kununua hii huduma, kwetu vipi haifai? Tukiona inafaa tuichukue tu. No malipo.
Dada zetu hawana ajira watapata wapi mahitaji yao na huo ndio mgodi wao?
 
Pale Msamvu kuna night club inaitwa "Manyoni"...ni aibu sana.Chumba kimoja wanaingia hadi ten couples,kitanda kimoja...so dangerous
Hapo lazima ukimbie tu na hata kama ulikuwa na hamu kivipi
 
Km umeshamiri kiasi hcho,Naamini vyombo husika vinajua ila vishaamua kukaa kimya..
Sasa acha watu wajitoe Akili
 
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
mkuu, wewe hukufanikiwa kumega tunda?
 
tunatarajia kufanya maombi ya mkesha kwaajili ya kuvunja hio roho ya ukahaba maeneo hayo, na inasadikika ni wanafunzi wa chuo kikuu kilicho karibu.
yeah! wengi ni wanafunzi wa Morogoro Muslim University (MMU).
 
Back
Top Bottom