Inaelekea na wewe ulijipatia HUDUMA hii haramu ndio maana umenukuu hata bei na site inapofanyika ila asante kwa taarifa tutafuatiliaWanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.
Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
umetisha ndg,mpemba ni wapi hiyo?hata mafinga.Hivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba
Najua kwako kila kitu halalHakuna huduma haramu
PoleKumbe unajuaeeee?sasa yanini kujishebedua?
Ni ushauri mzuri sana kwa wachumi wageuze macho maana badala ya kung'ang'ania kwenye bia na soda na sigarahii n biashara kongwe duniani, uhai wake unategemea uhai wa soko lake. Inashamir kwa sababu wateja wapo weng sana. Pale ITIGI n maaruf sana kwa hi biashara, hamna namna wapewe vibali walipe kodi. wateja n weng mno ndug yangu