Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Hapo Msamvu mpaka wameweka mc kabisa kutangaza biashara nyakati za usiku.."anakuambia tatu mpaka tatu, bidhaa zote zinapatikana" ..Mchana kuna hotel hutumiwa na wasafiri kula na inamilikiwa na Shabiby..usiku ndio hutumiwa na makahaba kwa shughuli kwenye eneo la wazi kule nyuma ambapo hupanga maboksi kwa mstari wakipata wateja..
 
Na kuna nite club msavu opposite na makuti lodge,pana kahaba za kutosha.
 
Hapo Msamvu mpaka wameweka mc kanisa kutangaza biashara nyakati za usiku.."anakuambia tatu mpaka tatu, bidhaa zote zinapatikana" ..Mchana kuna hotel hutumiwa na wasafiri kula na inamilikiwa na Shabiby..usiku ndio hutumiwa na makahaba kwa shughuli kwenye eneo la wazi kule nyuma ambapo hupanga maboksi kwa mstari wakipata wateja..
Mkuu naona unapaelewa kweli kweli kule nyuma unapo sema ni hatari unapita unamkuta mtu kainamishwa
 
Mkuu amini nakwambia ukifika pale msamvu kuanzia saa 5 usiku omba husiwe na familia ukapita sehemu zile ni aibu tupu
Ukiona hivyo ujue wateja wa hiyo commodity wapo na hivyo ndiyo maana inashamiri au ulitaka iweje?
 
Hatari sana, usalama wako bize kwenye walafi wa pesa, wakimaliza huko watakuja
 
Ukiona hivyo ujue wateja wa hiyo commodity wapo na hivyo ndiyo maana inashamiri au ulitaka iweje?
Hii biashara itakapoanzishwa wateja itapata tu, maana wenye mahitaji ni wengi, kuna mpaka wale wenye stress na wake zao hutumbukia humo humo, cha kufanya ni kuwambia wahusika tu ambao ni vyombo vya usalama
 
Hapo Msamvu mpaka wameweka mc kanisa kutangaza biashara nyakati za usiku.."anakuambia tatu mpaka tatu, bidhaa zote zinapatikana" ..Mchana kuna hotel hutumiwa na wasafiri kula na inamilikiwa na Shabiby..usiku ndio hutumiwa na makahaba kwa shughuli kwenye eneo la wazi kule nyuma ambapo hupanga maboksi kwa mstari wakipata wateja..
Mkuu fanyia editing badala ya kanisa weka linalo husika
 
Onyo: Marufuku kusafiri na nyege zako kuja Dar Es Salaam, ,,,
 
Hii biashara itakapoanzishwa wateja itapata tu, maana wenye mahitaji ni wengi, kuna mpaka wale wenye stress na wake zao hutumbukia humo humo, cha kufanya ni kuwambia wahusika tu ambao ni vyombo vya usalama
Serikali inge ipitisha hii biashara tu maana kuendelea kujifanya inapiga vita wakati ndio kwanza inazidi kushamili siyo busara
 
Back
Top Bottom