Ukaguzi haswa haswa ni wa shepu
Nani alikudanganya anayeendesha shoo ni Filipo?? Huyu kijana bado yuko kwenye mafunzo... akihitimu ntamtangaza rasmi kama msaisizi wangu mkuu. Uzuri ni kuwa huyu chalii ni mwepesi wa kuelewa. Hataniangusha........Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa inafanyika chini ya Filipo .
swali ni je memba wa kiume wanakaguliwa na nani? kama hayupo tuchague?
cc: Chocs Lady doctor Arushaone Baba V Madame B Blaki Womani KOKUTONA watu8 YNNAH kiwatengu Mentor Ladymasa Mamndenyi Passion Lady Smile na wana jf wote
Afu hebu kam zis wei nimalizie ukaguzi wa pili..... kabla wakware hawajakuharibia maeneo pendwa yako.
Labekha!!!
Kitu ambacho hujajua, idadi ya wanaotaka kukaguliwa imepungua sana..... Muda mrefu tunakuwa free.......... Pia ujue kuwa si kila jinsia Ke inakaguliwa. Nyingine ukikagua unaweza kujikuta mochware.... Vigezo na masharti huzingatiwa.Ayaaa! Asprin na Filipo kama kazi zimewazidia nivae magwanda ya kazi kwa ruksa ya shemeji yenu Lady doctor?
Nipe jina la huyo kijana nimlambe permanent ban kwenye majukwaa pendwa.....
Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa inafanyika chini ya Filipo .
swali ni je memba wa kiume wanakaguliwa na nani? kama hayupo tuchague?
cc: Chocs Lady doctor Arushaone Baba V Madame B Blaki Womani KOKUTONA watu8 YNNAH kiwatengu Mentor Ladymasa Mamndenyi Passion Lady Smile na wana jf wote
Kitu ambacho hujajua, idadi ya wanaotaka kukaguliwa imepungua sana..... Muda mrefu tunakuwa free.......... Pia ujue kuwa si kila jinsia Ke inakaguliwa. Nyingine ukikagua unaweza kujikuta mochware.... Vigezo na masharti huzingatiwa.
tena Mwanyasi ana hamu ya kukaguliwa
zana zimejaa,mkiwa tayari mnijuze
mbona atajutraaaa!!
We Lady doctor hapo juu.............acha maneno mengi, njoo chumba cha ukaguzi majibu utayajua hukohuko...
Usisahau kwenye hicho chumba unatakiwa uje without.....:welcome:
hivi kipindikile nawakagua nyie mlikuwa wapi? au mlikaa nyara????
Tatizo hawajiamini hawa
Naomba mkaguzi jamani.....
Asprin umesahau kuwa tulisha malizana ile siku niliyokukagua???? Au niufurumue ule uzi kwa udhibitisho
Hapa nahitaji mwongozo wa spika! kati yenu nani alimkagua mwenzake?
halafu mdogo wako Ladymasa yuko wapi?
kutangulia si kufika ujue, yaani ungechelewa kidogo ningekuzaa we babuUsisumbuke bure, angalia join dates zetu utajua fasta..... Yani kabla yeye hajaanza kukagua mi nlishakagua mama zake. Usisahau huyu daktari ni mjukuu wangu...:A S 39: